Nusrat Hanje wa CHADEMA alistahili ubunge EALA

Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.
Dini yake imemponza.
 
CCM walikuwa na mzimu ulikuwa ukiwasumbua ni mzimu wa Ufisadi lakini kashfa hiyo inaelekea kukosa nguvu Nadhani kama 70% wamesha clear zimabaki 30% kufikia 100%

Chadema kuna mizumu miwili itaendelea kuwatafuna mzimu mmoja ndio ulioifanya CUF kuonekana ni chama cha watu mwenye misimano sawa na kukapelekea wenye misimano tofauti waone CUF si sehemu ya wao kuwapo

Na kashfa hz mbili chadema waspo clear wataendelea kuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni
 
Yaani huyu ni bure kabisa kichwani,yaan jambo la msingi yeye analigeuza kuwa la kisiasa

Sasa nani ana jambo la msingi,huyo mtoto wa Lumumba??Kwanini comment yangu isiwe jambo la msingi??Hivi ni lazima kila anayependwa na vijana wa Lumumba awe Mbunge??Toka lini CCM ikawa na wema wa kiasi hicho na CDM?

Huyo Nusrat angewekwa bado yangekuja maneno mengi..........
 
Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.
Utapata kisukari ukifuatilia teuzi za chadema.Chadema ni chama cha wajanja wajanja,wasanii,walaji na matapeli.
Unashangaa ya Lau Masha unaacha ya Lowassa.
Chadema ni chama kisicho jali kabisa gender issues,ndio maana ukiondoa viongozi wa bawacha,hakuna mwanamke yeyote ngazi za juu.Chadema hawaamini katika nguvu ya mwanamke kwenye shughuli za kisiasa
Angalia yule Mashishanga na yule dada wa kigamboni walivyopondwa pondwa kwenye uteuzi wa wabunge ndio utajua kuwa chadema ni mafedhuli na hawapaswi kupewa dola
 
Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.
Ubunge huo kama vilivyo vyeo vingine vya kuchaguliwa , wagombea huomba kwa kujaza fomu ya maombi , sasa kama kamanda Nusrat hakuomba ulitaka alazimishwe ?

Halafu hivi mnayajua majukumu ya wabunge wa Africa Mashariki ?
 
Mpaka tarehe ya leo hii,ukiondoa makada waliokuja na Lowassa ndani ya chama, hakuna damu mpya iliyochipuka from within.

Kiujumla, CHADEMA ina fail kitu kimoja mhimu sana kuliko pale zamani 2005-2010 enzi zile tulizoea kuona damu mpya ikiibuka na kupewa nafasi ndani ya chama. Siku hizi chama kinasubiri kuokota kapi na kulitumia juu kwa juu tofauti na ilivyopaswa kuwa.

Binafsi siuoni ukongwe wa hiki chama ikiwa hawathamini damu changa, hawathamini vijana waliojitolea kwa ari na mali kukipigania chama kuanzia ngazi ya shina pasipo kuwa na ofisi hadi kujulikana.

Viongozi wa juu wajitathimini upya. Kama kuanzishwa kwa chama kulikuwa ni kwa fikra huru kwaajili ya ukombozi wa Taifa, basi madaraka wanayo hodhi kwa sasa hayawafai tena. It is the time for them to step down make sioni mwelekeo zaidi ya kuishi kwa kutegemea kick za vuvuzela TL.
Kumbe ndiyo maana Mnyika haongei coz the man has just seen chama hakina muelekeo.
CHADEMA chama cha ajabu sana waliokipigania chama wamewekwa kapuni makapi ya CCM ndio yanapewa nafasi...
 
Kama CV yako haioneshi kama umewahi kupitia CCM then utasugua sana benchi mpaka gwanda litoboke.

Wanaamini upinzani wa kweli utatoka CCM kama alivyonukuliwa Nyerere.

Vijana nendeni mkanenepeshe CV zenu CCM kwanza kigezo cha kulala selo siyo deal kwa sasa hata mbu wanalala huko.
sasa hivi CHADEMA kinaongozwa na makapi ya CCM....makamanda waliokipigania chama wote wametupwa kapuni
 
Chama kinaendeshwa na matamko ya Tundu Lissu mnategemea nini? Lissu akikosa kiki wiki na chama hakisikiki wiki ....
 
Mbowe huwa anaamini kwny Cheo chochote Chaguo la kwanza ni Kapi toka CCM akikosekana ndio huchagua Wanakindaki ndaki wa Chadema. Hata Sofia Simba angekubali kuhamia Chadema Kama alivyokaribishwa Basi angepewa ubunge wa EA.
 
Back
Top Bottom