Nurse Zai kutoka Kigoma umetoa fundisho

Maisha ya leo ukijifanya mzalendo lazima ufe maskini na hakika wanao wataishia shule za fagio na vidumu mkononi maana faida yake ndio hii ya kusifiwa tu wakati JOKA LA MAKENGEZA linachota mabilioni yetu akitumia taaluma yake ya sheria hapa dawa yao ni kukarakashana nao kwenye kuiba tu mpaka tugawane sawa keki ya taifa,nimetoa tu ya moyoni mimi sio mnafiki.

Utakuwa masikini duniani, lakini utakuwa tajiri mbele ya Mungu
 
Umeandika vizuri lakini sijapenda ulivyomalizia kutaja jina la rais! Naomba moderetor msaidieni kuedit jina la rais wetu! Hata kama kuna vinyongo haimaanishi ndio tulikosee jina kwa dharau...by the way UJUMBE NI MZURI
Alazimishwe kutabasamu mode mlazimisheni kutabasamu ndiyo nchi ilipo fikia
 
Lkn zai kawachomea wengine wachukuliwe hatua akiwemo boss wake loh zai anataka kuwaua wenzake njaa!!
 
Huyu mama ambaye wananchi wamemkatalia asihame kituoni kwake, kwa ajili ya ukarimu wake na moyo wa kuwahudumia watu kwa upendo.

Hadi umepewa uhamisho na wananchi kukukatalia usihame ili ubaki uendelee kuwahudumia.

Nakupa hongera na liwe fundisho kwa watumishi wote wanao wahudumia watu. Naimani siku ya wafanya kazi hautakosa zawadi kutoka kwa Rais

Magufuli. Big up.
Usijekuta hana index no ya form four!Maana kwa afya kinachofanya kazi siyo CV kama wengi wanavyotaka iwe
 
Namuombea na afande Fitina nae asihame
IMG-20170129-WA0010.jpg
 
Aache ujinga,hao anaowahudumia wotee ccm.ndo wanaomlipa mshahara duni,wenzake wanapata viti maalumu bungeni teena buure.yeye anakomaa bila faida yoyote.ataishia kusifiwa huku wenye nchi wakipeleka watoto wao nje.unafiki mwiko.huo ndo ukweli wenyewe
 
Maisha ya leo ukijifanya mzalendo lazima ufe maskini na hakika wanao wataishia shule za fagio na vidumu mkononi maana faida yake ndio hii ya kusifiwa tu wakati JOKA LA MAKENGEZA linachota mabilioni yetu akitumia taaluma yake ya sheria hapa dawa yao ni kukarakashana nao kwenye kuiba tu mpaka tugawane sawa keki ya taifa,nimetoa tu ya moyoni mimi sio mnafiki.
Hela sio furaha. Huyo anaheshimiwa na anafuraha kupita fisadi yeyote unaemjua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom