Kwa nini asiguswe! Prof. Mahalu alikuwa balozi Italy lakini alishughulikiwa!!Dau hataguswa ameshapewa ubaloz tayar
Nlitaka na mimi nseme kitu ila umekidhi matakwa yangu.Halafu bosi mkubwa kabisa anataka kupewa ubalozi, nadhani ile ilikuwa ni lugha ya kistaarab tu. Madudu yote hayo kama hii ni habari ya kweli, basi yanatosha kabisa kumuondolea hadhi ya ubalozi huyo bosi ambaye anatetewa katika lugha ya udini. Sitazami dini ya mtu na nadhani sio jambo la busara kutazama dini, bali tutazame hasara kwa taifa.
Watoto wanakaa chini kwenye shule nyingi za bongo, kinamama bado wanatembea mwendo mrefu wakitafuta maji safi, matatizo rundo nchini halafu mtu anatetewa eti kwa misingi ya dini yake kuonekana inaonewa!. Tunaisikitikia nchi kwanza, mtu mmoja au kundi la wachache halina uhalali wa kuwafanya mamilioni ya watu masikini wabakie kuishi maisha duni.
Halafu leo Profesa Mahalu ana cheo gani?!Kwa nini asiguswe! Prof. Mahalu alikuwa balozi Italy lakini alishughulikiwa!!
Kwahiyo wewe unapokwenda haja hujawahi kutumia hiyo kitu?!!Kuchambia karatasi ni sawa na kuniambia najipaka mavi ,nakupa nafasi ya kuongeza tusi jingine utoe kihoro chako
Watetezi wake walituaminisha kuwa ameonewa, na Pombe anatumbua dini fulani tu.
Kafiri bila kukashifu waislamu siku haijapita.
Naona anatajwa Dau tu..nafikiri Mama Tiba atakuwa na la kutueleza..Escrow haiwezi kufuata hapa aiseee.
Trillioni 1.3 ni mara tatu ya escrow aiseee, kifupi NSSF ni ESCROW tatu