Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,004
- Thread starter
- #21
Luwasa.Hivyo Viwanda nani aliviua?
Luwasa.Hivyo Viwanda nani aliviua?
Nyumbu sio jina lenu la ubatizo....khaa na ipo siku DJ atawazamisha mto mara mliwe na mamba.sasa mkuu si afadhali yetu sisi tunawaza objectively sio kama ninyi mkurupukaji akikurupuka...haooooo...kama nyumbu vile
Nyumbu sio jina lenu la ubatizo....khaa na ipo siku DJ atawazamisha mto mara mliwe na mamba.
Si yupo, kwanini asivifufue, mpaka NSSF waingie kati?Luwasa.
we jamaa akili umeweka backsideLuwasa.
kwa bongo viwanda vya umma vitahujumiwa tu,hiyo management ndo kitakuwa kitega uchumi chao,wanaiba halafu wanatia kiberiti nyarakaDah kwa akili hizi unasikitisha kijana.Kwani hivyo viwanda si vinakuwa management yake?
Hizo wright ups za hiyo miradi imeandikwa saa ngapi?
bIASHARA YA NAFAKA HAITUPI MFANYA BIASHARA LAZIMA FAIDA IPO.MIMI NAIFANYA TENA NSSF WATAGUNDUA WALICHELEWA, KWA WAO NI RAHISI KU-ACCESS MASOKO YA NJE, HATA SOKO LA NDANI BADO.MIM NAUZA SEMBE KWA WINGI KWA KUTUMIA MASHINE YA SIDO NA HAKUNA HASARALicha ya Bakhresa, nenda pale Manzese utaona mashine za Sembe zilivyojazana. Hawa jamaa wafanye utafiti isije ikala kwao mazima. Huwezi kuwekeza kwenye sekta ambayo ili ilete faida inategemea sekta nyingine na hapo ukitokea ukame wakulima wakashindwa kuzalisha mahindi lawama zitafuata toka kwa wastaafu
Licha ya Bakhresa, nenda pale Manzese utaona mashine za Sembe zilivyojazana. Hawa jamaa wafanye utafiti isije ikala kwao mazima. Huwezi kuwekeza kwenye sekta ambayo ili ilete faida inategemea sekta nyingine na hapo ukitokea ukame wakulima wakashindwa kuzalisha mahindi lawama zitafuata toka kwa wastaafu
Yaani hawa vijana upumbavu na ulofa waliomwagiwa unawatesa kweli.Wapo "cynical".Profesa huyo kateuliwa lini kushika NSSF? Anatamka kitu anachojua.
Mtoto wa Chuo.Business Plan wewe ukipewa utatumia siku ngapi kuandika?
NSSF Waingie huko kwenye unga pia.Soko liko Kubwa sana.Watauza unga kwa majeshi yote kuanzia JWTZ,Magereza,JKT,KMKM.
Shule zote za Bweni nchi nzima zitapata unga kwao.Hospitali zote nchini zitapata unga kwao nk ni wakati wa wafanyakazi na wakulima kushika uchumi kupitia mifuko ya hifadhi zao za jamii walikojiunga.
Hivyo Viwanda nani aliviua?
Ni nani awaambia bavicha kuwa Tanzania inajitosheleza kwa unga?Kwani NSSF wanashindwa kuwekeza kwenye mashamba ya mahindi!
Ni nani awaambia bavicha kuwa Tanzania inajitosheleza kwa unga?
Mkuu Nyumbu ni tabia halisi kabisa ya kwenu....Siku hzi mmepata na nyingine ya chura....tatizo lenu hamnazo akili...mnaweza rushwa ,wizi ,kanga na pilau
Yaani wana "hangover" muda wote.Yule aliyewashauri kudeki barabara ili apite!
Ndugu yake RTC na shirika la ugawajj,ujamaa umerudi
Lakini sio kudeki barabara!
Yaani wana "hangover" muda wote.
Kucheza na pensheni maanake nini??Wewe si mzalendo unacheza na pensheni za wazee wetu na yako pia ili watu wapate kura