Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,271
ha ha ha,labda hawa ndugu zetu wataacha kuichukia urusi tukiwaibia siri kwamba urusi pia imekubaliana kwa siri na israel kutopeleka iran kwanza ile S-300 na kuwa watakua wanapiga danadana kuupeleka mtambo ili kuvuta mdaMkuu watu wengi hawajui kwamba Majenerali wengi kwenye jeshi la Israel, maengineer, wanasayansi mahili nk wote hao ni Wayahudi wenye asili ya Urusi na wengi wao wana ongea lugha ya Kirusi.
Waziri mkuu wao aliyekuwa mwanamke Bi Golda Meyer alikuwa mzaliwa wa Urusi.
Kwa hiyo asili mia kubwa ya Waisrael wana asili ya Urusi, ni watu wachache wanao lijuwa hilo!! Uhusiano wa mataifa haya mawili ni w0pa karibu sana ila huwa hawataki hilo lijulikane sana.