Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,038
- Thread starter
- #21
Kwa kweli, cos hapatakalika.
Ngoja kwanza na sie tuendelee na mchanga wetu ...
Kwa kweli, cos hapatakalika.
Ngoja kwanza na sie tuendelee na mchanga wetu ...
Haha, I wish huo mchanga wote ugeuke dhahabu.
Maana mchanga umevunja record ya coverage.
Aiseeh mkuu shukrani kwa ufafanuzi wa kina..nimejifunzaElectromagnetic Pulse.
Siraha za EMP zikipigwa ni kwamba zinaua vifaa vyote vya electronics katika mzunguko wa kilomita kadhaa toka liliposhambulia.
So kuanzia simu, umeme, computer, digital watches yani kila kitumiacho umeme wa kielectronic mpaka magari, drones, ndege n.k vitazima.
Lakini hizi siraha hazijawa tayari bado ziko kwenye majaribio kwahiyo kwa sasa hazijawa na uwezo mkubwa wa kutumika kama siraha unless kama ni siri za kijeshi hawataki kuweka wazi kama ambavyo tunajua siraha za nuclear.
Ukitaka elewa zaidi tazama series moja ya kikorea inaitwa three days utaelewa hizi siraha zinakuwaje.
Siyo kama bomu na wala ikipigwa haitpi sauti wala haiathiri binadamu wala mnyama ila utashangaa vifaa vinazima umeme unakata tu.
Tukaombe makontena mawili basi ....
Karibu sana mkuu, yani siyo kama bomu ni sawa na kuswitch on kitu kitakachozalisha pulse flani yani sawa na unavyowasha switch ya taa itoe mwanga...Aiseeh mkuu shukrani kwa ufafanuzi wa kina..nimejifunza
Tukaombe makontena mawili basi ....
Kweli maana huwezi jua atii..
Tunaweza okota dodo kwenye mlimao...lol
Halafu jana wakati naangalia habari za Qatar nikakumbuka Ideas zako za kutumia fursa, jamaa wako njema hadi raha.
Enendeni Mkaishi Pangoni (EMP)What is EMP..?
Sawa mkuu..ngoja nitajifunza zaidi kupitia source mbalimbali...ila hauna hata kavideo kafupi nioneKaribu sana mkuu, yani siyo kama bomu ni sawa na kuswitch on kitu kitakachozalisha pulse flani yani sawa na unavyowasha switch ya taa itoe mwanga...
EMP - Electro Magnetic Pulse Bomb:Sawa mkuu..ngoja nitajifunza zaidi kupitia source mbalimbali...ila hauna hata kavideo kafupi nione
Duh kweli haya makinikia cjui yameshatuchanganyaEnendeni Mkaishi Pangoni (EMP)
EMP - Electro Magnetic Pulse Bomb:
Rais hawezi tunyima, ( uoga wa mtu ndio umaskini wake )....
Oh! Kule pazuri, ukiwa na kielimu chako cha hapa na pale, ushatoka. Kuna mtu nilimaliza nae chuo , alipataga kule kazi kwenye company ya mafuta, per day alikua anachukua $240 ... sema ndio hivyo stareheeeeeee...... zina tuua vijana
Ukweli kabisa
$240 per day?!
Halafu wanasema hakuna taxes?, asee!!
Hata kama walikua nayo basi haikua na makali, maana wale jamaa wanakuhudumia kila kitu, wewe kazi yako ni kufanya kazi tu na starehe, hutoi hata cent yako....
Nilikula sana hela za jamaa, maana kipindi yeye kapata hiyo kazi mie bado nilikua nasugua benchi kitaani..... Na alikua ananiamini hata card ya bank alikua akirudi ananiachia sasa mie nilikua sifanyi makosa, nilikua nazitumbua paka vumbi, natamani ijirudie na huu usawa wa michanga dah!