North Korea threatens to turn U.S and South Korea into 'powder'

Ngabu ashaanza kuogopa maana naye ni mlengwa.... tutaenda kuchukua majivu tuyamwage baharini... na tutasema Rest In theSea
 
Wewe una uhakika gani huwa hawadanganyi au kutia chumvi? Huwa unakuwepo?

Manake watu wenyewe wamejitenga utadhani si binadamu.

Huwezi ukajitenga namna hiyo halafu ukaendelea sana katika nyanja yoyote ile.

Huwezi.
Hayo ni mawazo ya kimasikini....kwamba bila kuungana na marekani basi huwez endelea
Swala si kujitenga ama kuinyenyekea marekani. inafika kipindi kuna vitu huwezi kufanya wewe mwenyewe kila kitu ndo maana mi huwa naamini hawa north korea kwa mazingira waliyo nayo na wanavyoishi na kwa jinsi nature ya watu walivyo halafu wakapunguza kidogo hii misimamo hawa washikaji wangelikuwa mbali.
 
Hata kwa hali ya sasa bado North Korea hawezi kujitenga kabisa na dunia.

Hivi huko North Korea hata Coca-Cola hazipatikani?
 
sijawahi kufika ila inawezekana pia isipatikane kwa sababu ni shirika la kutoka marekani. ila kuna kiwanda ambacho kinamilikiwa na korea kusini kimeajili wakorea wa kutoka nchi zote mbili, na ndio sehemu iliyobaki ya ushilikiano baina ya hizo nchi.
 
Hao jamaa wana miss out sana.

Kwa mtaji huo hata iPhones, iPads, iPods, na n.k. hakuna.

Samsung nazo hakuna.

Pepsi hakuna. Fanta hakuna.

Nike hakuna [labda za mitumba iliyoingizwa kimagendo].

Kaazi kweli kweli.
 
Izo zote ulizotaja hapo juu north korea hakuna. Sim, computer, magari, internet wanamiliki watu wachache wenye madaraka serekalini. Unaweza kua na tv ila kuna channel moja tu inapatikana tena ni channel ya serekali, huwa inaonesha taarifa ya habar na anti America propaganda. ila inasemakana kuna wanaharakati wa south korea huwa wanapeleka kwa siri vitu kama sim, DVD na flash zenye movie za kisasa. ili wanorth korea wajionee maisha njee na north korea walivokua mazuri coz hawa watu wamejitenga sana na hawajui kinachoendelea nje ya nchi yao. Hii nchi kwakweli watu wanaishi kwa tabu sana mimi nashanga watu kuisifu serekali yao kisa wanaonesha chuki kwa marekani. Hata kama huipendi marekani sio vizuri kushabikia unyama huu unaofanywa na north Korea.
 
Wimbo wa Taifa la North Korea unazungumzia mengi juu ya ajenda ya nchi hiyo"...limitlessly power..."
 
hawawaogopi mkuu sema tu hawajajaa kwenye 18 zao,au akitaka kutest ladha afanye millitary invasion pale south naamini matokeo yatakua yaleyale kwamba marekani anaonea hivi vinchi kumbe vyenyewe ndo vinaanzishaga tambo

Kumbuka Korea ya kasikazini iliwahi kupigana na Merikani kwa miaka karibu minne - mbona Merikani hakushinda vita hiyo, umoja wa Mataifa ndio ulingilia kati. Watu ambao hawajui vizuri mambo haya ndio wanaongoza kubeza beza Korea ya Kasikazini, Taifa hilo si lelemama kama mnavyo lifikiria, wakijaribu kuichokonoa basi Korea kusini ita pay the price i.e itachakazwa kweli kweli, Korea kasikazini ni majasiri sana.
 
mkuu umoja wa mataifa hauna jeshi,ila ni nchi zilitoa wanajeshi kidogo kidogo kuchangia kwe jeshi liloongozwa na marekani kwenda kuikomboa south korea,na mission ilikua ni kuwadrive north korea kutoka south korea walipovamia na iyo mission ilifanikiwa sasa unaposema walishindwa kuivamia north cjui unamaanisha kwamba us angeongoza jeshi la kimataifa kuivamia north???pili mkuu north korea hakupigana peke yake kama unavyosema kwani alikuwa akisaidiana na jeshi la china kulikua wanajeshi kutoka vietnam pia halafu USSR walikua wanawapa air support so mkuu north hakua pekeyake kipindi kile
 
Hata kwa hali ya sasa bado North Korea hawezi kujitenga kabisa na dunia.

Hivi huko North Korea hata Coca-Cola hazipatikani?
hakuna mkuu,cku hizi kwanza wanatengeneza operating system yao hawataki hata kutumia wndow,linux nk. wanaogopa watadukuliwa
 
Acheni Kusikiliza Maneno ya Kwenye Vijiwe vya Mafundi Viatu/baiskeli/ na Wauza Kahawa U.S siyo Mchezo ile North Korea hawawawezi Marekani Kama ujuavyo wanapigana vita vya Kisasa ardhi yake kamwe haiguswi hata na chembe ya Risasi ila vita hiyo itapiganiwa North Korea tuu kama walivyofanya kwa Vietnam, Iraq wanapigana kisasa kabisa so hawajaamua kuivamia hiyo North Korea muwe mna google na Kulinganisha hata ukubwa wa nchi na Uchumi pia.

Mkuu kwa taarifa yako Korea ya Kaskazini iliwahi kupigana vita na Merikani kwenye miaka ya hamsini, kwani kulitokea nini? Merikani haiwezi kudai kwamba ilishinda vita hiyo kwa kuwa ukweli unajulikana.

Sasa ni zaidi ya miaka hamsini tangu mapigano hayo yaditishwe na Umoja wa Mataifa - swali ni ,je, hivi sasa Korea kasikazini ikoje kijeshi na kiulinzi achilia mbali mabom ya nuklia na thermonuclear, sisemi North Korea inaweza kuvamia Merikani lakini wakichokozwa watasababisha madhala makubwa kwa Korea ya kusini na majeshi ya Merikani yatakayo kwenda kutoa msaada kotea ya Kusini they have done that before sioni kama watashindwa kufanya hivyo sasa tena kwa nguvu zaidi, miaka yote hamsini+ kasikazini watakuwa wamejitayarisha vizuri jinsi ya kukabiliana na uchokozi wa Korea kusini na Merikani.

Kelele kelele za Merikani na Korea ya Kusini ni vitisho tu vya kutaka kuhalilisha uwekaji wa Makombora ya Merikani huko Korea ya kusini yakiwa na lengo kijikinga dhidi ya ICBM za Urusi na China, Wamerikani wanazuga Dunia kwamba makombora hayo yana lengo la kuzuia makombora ya Korea kasikasini yasirushwe kuelekea Merikani - ulaghai mtupu!
 
Una tatizo la kutamka "Marekani"
 
mkuu umoja wa mataifa hauna jeshi,ila ni nchi zilitoa wanajeshi kidogo kidogo kuchangia kwe jeshi liloongozwa na marekani kwenda kuikomboa south korea,na mission ilikua ni kuwadrive north korea kutoka south korea walipovamia na iyo mission ilifanikiwa sasa unaposema walishindwa kuivamia north cjui unamaanisha kwamba us angeongoza jeshi la kimataifa kuivamia north???pili mkuu north korea hakupigana peke yake kama unavyosema kwani alikuwa akisaidiana na jeshi la china kulikua wanajeshi kutoka vietnam pia halafu USSR walikua wanawapa air support so mkuu north hakua pekeyake kipindi kile

Mkuu sijasema umoja wa mataifa una jeshi, mimi nimesema wao ndio walio wezesha pande zinazo husika kusitisha mapigano.

Korea kasikazini walikuwa wanatumia silaha, ndege za vita, triple-A nk vyote kutoka Urusi, marubani wa ndege wengi walikuwa ni wa Korea wakitumia MiG-15, marubani wachache wa Urusi walikuja kuingia vitani baadae kabisa lengo lao likiwa kufanya majaribio ya fighter zao aina ya MiG-17 zikiwa kwenye medani za vita - pande zote zilisaidiwa bila ya kujali nani alimsaidia nani lakini at the end of the day Wakorea ndio walikuwa wahusika wakuu katika vita hiyo, regardless ya misaada hakuna aliye hibuka mshindi ndio maana Taifa la Korea limegawanyika mpaka leo.
 
nashkuru sana mkuu nadhan kwa dhana hio hapa swala la nani hamuwez nan ni ngumu sana kuicoclude,lakini nkuulize mkuu vipi uwezo wa kijeshi wa north korea ukiufananisha na ule wa russia au china je nchi hizi zinaweza kuidefit north korea kwe combat?
 
N.Korea haiiwezi Russia au China katika vita.N.K atashindwa japo madhara yatatokea kwa huyo mshindi.
 
so USA hawez kuidefit north korea but china na russia zinaweza....nmekupata mkuu thanx kwa kueleweshana

Hahahahaaaa.....that is super funny!

Yaani China na Urusi zinaweza kuipiga North Korea lakini nchi yenye jeshi bora kabisa duniani haiwezi.

Kaazi kweli kweli.
 
Hahahahaaaa.....that is super funny!

Yaani China na Urusi zinaweza kuipiga North Korea lakini nchi yenye jeshi bora kabisa duniani haiwezi.

Kaazi kweli kweli.
usicheke muheshimiwa mkuu hapo juu kanambia USA haiiwez kabisa kuidefit north korea nkamuuliza how about china and russia? akasema they can,sasa kama ni wewe mkuu ungeconclude vipi sasa jamani!!!! ili kuepeusha argument zisizo na maana mwenzio nshakubaliana nae hapo na amefurah si umeona hajareply tena
 
Hahahaaaa ngoja basi nami nikubaliane naye tu.
 
Back
Top Bottom