KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 34,145
- 81,348
Sisi kama vijana wa #Kataandoa tumekuja na "No reform no marriage!".
kwasababu mmekuwa mkitusema vibaya nakuona kama hatuna maadili,hivyo basi kama kuna mambo hayatawekwa sawa sawia basi hatutaingia kabisa kwenye mtego unaoitwa ndoa!.
bila hivi vitu kufanyiwa marekebisho basi hakuna ndoa!.
#Kugawana mali na mke hata zile ambazo nilizitafuta kabla sijakutana nae!.
Hichi kipengele kikirekebishwa itakuwa ahueni!.
#Ifutwe hamsini kwa hamsini!.
Kwa nature ilivyo hairuhusu mwanaume na mwanamke kuwa na haki sawa!, hii hamsini kwa hamsini ni kandamizi kwa kiumbe kinachoitwa mwanaume!.
#Kama hamuwezi kubadilisha hiyo hamsini kwa hamsini basi na wanawake nao kwa kipimo kilekile tunachopimiwa nao wapimiwe iwe ni kazi ama shughuli yoyote. Tuone kinavyowalamba!.
#Swala la malezi ya mtoto mwanaume kama anatoa 50% na mwanamke atoe 50%.. maswala yakupelekana ustawi wa jamii halafu me pekee ndo anazama mfukoni tutakuja kutoana meno!.
#Mahari ifutwe!.
Hii ni sawa na biashara tu!, sasa mtu nimtolee mahali halafu nije nimpe fifty fifty, bima ya afya, nihakikishe kila siku anakula na huduma zake zote nyengine ziniangalie we ulisikia wapi..??
Kama hayo hayawezekani nasisi hatuwezekani hata kwa kuturoga!, yani mkilamba kushoto sisi tunalamba kulia mwendo ni #kataandoa na #noreformnomarriage!.