Giannina22
Member
- Aug 3, 2022
- 17
- 16
Nimegundua vijana wengi wakiume hawajiamin (Inferiority complex) ndio mana mada za kuwakandia wanawake wasomi haziishi kwa sababu wanataka kuishi na mwanamke ambaye hatowakosoa kwa chochote, inakuwa kama amemmnunua, maisha hayako hivyo mwanamke ni msaidizi wa mumewe anahisia na yeye ana haki ya kutoa maamuzi au maoni sio kila kitu akubali hata kama anaona kina walakini, mwanaume unawajibu wa kusikiliza maoni ya mke au mchumba kama nawe unavyosikilizwa, usiishi mwanamke kibabe ili akutii.