pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
Haaa hàa, wewe ni mtu mwema sana na unashida halisi, isipokuwa umeweka shida zako hadharani. Mimi nina manne tuu :
1. Mwanamke asikutishe, bali akupe sababu, uzisikilize kwa makini, pengine ni za muhimu.
2. Kwenda kwao kwanza si dalili ya weakness kwa upande wako na wala si ubinafsi kwa upande wake. Cha muhimu ni sababu.
3. Fanya utafiti ujiridhishe kama hii kitu ni wife material, au mission town.
4. Be strong and firm ukifanya utafiti, shikilia maamuzi hata kama ni magumu. Watoto wa kike hawaishi asikudanganye mtu, tena kama unakadegree kamoja, piga chini, kasome, halafu utakuja kuniambia.