NMC, ni mali ya Serikali au ishauzwa ?

wicalumtata

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
329
109
jamani naomba kujuzwa kama serikali bado inamiliki maghala na magodauni ya
NMC, Maana hapa iringa godauni 1 la nmc lililopo mlandege linawekwa bidhaa za METL sasa sjajua kama amekodi awekee bidhaa zake au amenunua kwa serikali.
 
mkuu nami nimeshangaa l nimepita bandarini karibu na ofisi za UDA nkaona ujenzi unaendelea kuuliza nkaambiwa Mohamed enterprises kanunua yale maghala moja wapo nkashangaa kweli
 
kama ndo na haya maghala wameuza hapa hatuna nchi tena, mwalimu aliacha wao wanauza, na sasa wakulima wamepata mazao mengi kwakuweka hakuna wkt mwalimu alitujengea kwa manufaa ya badae.
 
NMC kipindi cha mkapa haikuuzwa jamani, mim nakumbuka hl godauni la nmc hapa iringa walikodi wazungu flan walikuwa wanalima paprica na kuzisaga pale na wakawa wanahifadhi pale nmc, baadae wakafunga, huyu METL ameanza mwaka jana tu
 
jamani naomba kujuzwa kama serikali bado inamiliki maghala na magodauni ya
NMC, Maana hapa iringa godauni 1 la nmc lililopo mlandege linawekwa bidhaa za METL sasa sjajua kama amekodi awekee bidhaa zake au amenunua kwa serikali.

kijana mbona una hatari , kwanini unafukua makaburi ?
 
Arusha kiwanda cha NMC na maghala yote kuchukua Lowassa kupitia jamaa mmoja anayeitwa Mollel a.k.a Monaban
 
kama ndo na haya maghala wameuza hapa hatuna nchi tena, mwalimu aliacha wao wanauza, na sasa wakulima wamepata mazao mengi kwakuweka hakuna wkt mwalimu alitujengea kwa manufaa ya badae.

Mkuu kikwete kauza hata National Engineering yaani shida siku hizi ile ilikuwa ndo base ya SIDO, VETA etc so hasa veta hawana chao tena na taifa halina tena sehemu ya groom wataalam kwrnyr fani|!
 
Mbona hamuulizi pale NMC Tazara na Chang'ombe maghala na viwanja /mali za NMC zilichukuliwa miaka mingi na Bakhresa na METL si ajabu kwa bei ya kutupa
 
R.i.p tz, kumbe ndo maana wanang'ang'ania sana madaraka ili waendelee kuwalinda hawa ngoz nyeupe il waendelee kutuibia, sasa nimejua na ndo maana wapo bega kwa bega. Its better to go bact to our socialism il tu nationalize wakina metl na ssb
 
Na huyu monaban ni kada wa ccm na ndie anaetarajia kuingia kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm, kweli panya wanaandaliwa mapema sana.
 
Back
Top Bottom