Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,635
Fatilia na makato ya kuamisha pesa kutoka kwenye bank account to m-pesa or tigo pesa balaa juu ya balaa.
Hata huko kuna makato tena makubwa!!!Hivi ci watumie salary kwenye mpesa tigo pesa na airtel money kama ndio ivo kila ck wanaongeza.
Usipotoshe wengine. Nihatar zaid kuficha hela chin ya kitanda kuliko benk. Pia kumbuka hicho kinachokwa ni serikal yqko na sio mabenki coz wao benki ni wakusanyaji tu. Cha mwisho kuondokana na hayo malalamiko kwa mtumishi jitahid kuwa na vyanzo vya mapato vingine mbali na mshahara.Kote wanaiba....yaani ni shida....bora kuficha fedha chini ya vitanda tu...maana hamna mwenye huruma. Alafu wafanyakazi asubuhi utawakuta wanasali....sijui huwa wanasali kwa ajili ya nini
Acha kusingizia serikali......hiyo tabia acha kabisaa!!!. Unataka kuaminisha watu kwamba makato yote yale ni serikali imependekeza??Usipotoshe wengine. Nihatar zaid kuficha hela chin ya kitanda kuliko benk. Pia kumbuka hicho kinachokwa ni serikal yqko na sio mabenki coz wao benki ni wakusanyaji tu. Cha mwisho kuondokana na hayo malalamiko kwa mtumishi jitahid kuwa na vyanzo vya mapato vingine mbali na mshahara.
Tena amia stanbik bank ili uone jinsi kanga anavyonyolewa manyoya. Monthly fee tu elf12Nikuhama hiyo bank hawafai
Na kwenye umeme pia.BRO MBONA HATA HUKO KWENYE MIAMALA YA SIMU MAMBO NDO HIVIHIVI...........?
Kwani VAT ni yanini? Unajua 18% ya kila bidhaa na huduma inakusanywa vip na inaenda wapi. Kama unamahaba na serikal hautaelewaAcha kusingizia serikali......hiyo tabia acha kabisaa!!!. Unataka kuaminisha watu kwamba makato yote yale ni serikali imependekeza??
Acha kupiga mayowe.....VAT nakatwa sana wala sijaanza Leo....acheni unafki wa kuwaaminisha watu kwamba ni serikali inasababisha makato zaidi....unazijua gharama za ATM card inapoifanyia kazi??, withdraw, monthly/yearly cost? Unajua interest rate ya mikopo ipoje?..... Wewe kuna siku utajitokeza hadharani kulaumu serikali Lisa mkeo/mumeo kachepuka....ndiko akili yako inakoelekea wwKwani VAT ni yanini? Unajua 18% ya kila bidhaa na huduma inakusanywa vip na inaenda wapi. Kama unamahaba na serikal hautaelewa