dalalitz JF-Expert Member Sep 6, 2013 3,418 1,980 Jul 6, 2016 #21 Mheshimiwa Sana naona gharama zako ni Rafiki ila jambo moja, Mamlaka gani ya Elimu inakutambua na zaidi ya ufahamu mhitimu utampata cheti?
Mheshimiwa Sana naona gharama zako ni Rafiki ila jambo moja, Mamlaka gani ya Elimu inakutambua na zaidi ya ufahamu mhitimu utampata cheti?