Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

Oya wakuu habari zenu!, vipi kuna aliyefanikiwa kuvuka maji ? Au hata kusogea nchi jirani tu aisee mimi binafsi bado nimekwama aisee bongo nyoso! Lakini bado sijakata tamaa maisha mbele kwa mbele hapa Gen Z hatupo salama kabisa ...
 
Back
Top Bottom