Hiyo mida unayoisema mkuu, ni ya kula papuchi
Huna lolote..Jirushe ghorofani mpaka chini
Are you sure?Kuzimu ndio makao makuu ya shetani!
[HASHTAG]#1wewe[/HASHTAG] ndiye mwenyeji wangu njoo twendeZipo njia mbalimbali za kumfikisha mwanadamu kuzimu.
Nitazitaja kwa uchache hapa.
Njia kuu na ambayo imezoeleweka ni ile ya
mwanadamu husika kupelekwa kuzimu kwa
kuongozwa na mtu anayefahamu taratibu za
kwenda kuzimu.
Njia nyingine ni ile ya kufanya tambiko ama
maombi maalumu ambapo malango ya kuzimu
yatafunguka na muhusika atakwenda kuzimu.
Njia nyingine ni ambayo ni rahisi sana lakini yenye kuogofya sana ni hii nitakayo ieleza hapa chini.
( SIO LENGO LANGU KUWAFUNDISHA WATU
NAMNA YA KWENDA KUZIMU, ILA NITAELEZA
KWA UFUPI SANA HAPA NA MENGINE
NITAYAFICHA ).
Chukua mayai saba ya kuku mweusi, nenda hadi
kando kando ya bahari au ziwa kati ya saa sita usiku hadi saa saba usiku. Ukifika kando kando ya bahari, utachukua ‘dawa maalumu” ya kichawi iliyotengenezwa kwa kutumia miti mbalimbali pamoja na unga unga wa mifupa ya bundi. Dawa hiyo itakuwa imehifadiwa
kwenye pembe ya mbuzi.
Utachota maji ya baharini kiasi cha viganja saba kwa kutumia mkono wako wa kushoto na kutia ndanicya dawa yako iliyohifadhiwa ndani yapembe ya mbuzi.
Utachukua pembe hiyo ambayo ndani yake
imechanganywa dawa, utaweka maji yako
mdomoni, kisha utayatemea baharini, utafanya hivyo mara saba.
Baada ya hapo, utachukua hayo mayai ya kuku kisha utaanza kuyatupa baharini huku ukiwa unatamka maneno maalumu ambayo
unakuwa umepatiwa.
Ukishatupa yai la saba, bahari itapasuka, lango la kuzimu litafunguka na atatokea kiumbe ambaye atakukaribisha na kukuelekeza mambo mengine yote yatakayofuata.