Njia panda Ajira na utajiri wa kijini

Mtupori_Tz

JF-Expert Member
May 16, 2021
207
757
Mtaalamu anatoa mkataba na jini wa kuwa tajiri

Pia anaweza kukupa mkataba na jini akakutafutia Ajira serikalini

Kipi bora wakuu hapo
 
Hakuna kilicho Bora hapo jiajiri toa fungu la kumi wasaidie wasio na uwezo hapo utakuwa na msingi wa faida ya kudumu
 
Hakuna kilicho Bora hapo jiajiri toa fungu la kumi wasaidie wasio na uwezo hapo utakuwa na msingi wa faida ya kudumu
Upumbavu huu wangapi wanatoa na Bado Maisha Yao kufa manjaa yasio kwisha
 
Back
Top Bottom