Njia gani nitumie watoto wangu wawe na akili darasani?

Just simple. It might be nature or nurture and sometimes two of them. Check and recheck then uproot the source where necessary.
 
Daah
Wewe mwenyewe unaandika hakili badala ya akili.
Ninashauri tuanze kukusaidia kwanza wewe. Kama kuandika tu unaandika hivyo sasa hao wanao unawapa mazingira gani ya kufaulu.
 
Mkuu kama mdau mmoja alivopendekeza hapo juu ni Wa dini yako,,watoto wanashika kitu KWA urahisi sana,,tatizo wakichanganywa wengine wanachanganyikiwa,,dini wanlazimishwa kushika,,elimu Dunia wanafundishea hawalazimishwi,,so chagua kimoja ..elimu Dunia au hiyo nyingine?ila pongezi KWA kupenda watoto wasiwe kama wewe
 
Aaaaaissssshhhh Asee nakuomba usichangaye neno islamic na shule blv me... Vyote ni vyao na wanahaki ya kuvipata ila separetedly
 
Uandishi wako tu unafanya watu wawe na wasiwasi na wewe kabla ya hao wanao............
 
Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili watoto wangu wapate elimu bora na sio bora elimu maana wote wapo privet Islamic toka nasali wapo wanasoma private na ni wakiume wote ila mpaka nakuachizi kila siku wamwisho na ninajitahidi kushilikiana na walimu wanaowafundisha lakini wapi! Nisaidieni njia mbadala nifanyeje nimeleta huku kwa wadau labda nitapata mawazo zaidi nakosea wapi nijirekebishe.
Watakuwa wamerithi akili yako

Hakili ndiyo nini
 
Usife moyo,HAKILI ni tatizo la muda tu ila kama una haraka sana jaribu kumkazania swala la AKILI kwanza hiyo itasaidia sana
 
Mwanadamu katika uhai wake toka kuzaliwa hadi ukubwa anapita ktk hatua kuu 5 kama sijakosea.

1-Siku anazaliwa hadi umli we miaka mi3.
Hapa mtoto anahisi.kwahiyo ktk kipindi hicho epuka epuka mambo yafuatayo.
Kumpigia makelele MF:-kupiga mziki kwa nguvu nk.
Kutukana au lugha za matusi nk. Kwasababu ukimfanyia mambo hayo huwa yanajisevu kwenye hakili zake name Madhara utayaona ukubwani.

2-miaka mi3 hadi 7.childhood.
Hapa mtoto yupo kwenye steji ya kutofahamu vyema.
Hapa epuka kudanganja kwa mambo yote muhimu,atakua na maswali mengi jitahidi kumueleza kweli.hatakama atauliza swali LA kitoto we we muelekeze ukweli muweke Sawa.

3-miaka 7 hadi 14.hapa mtoto anafundishika .
Katika steji him epuka kumuonyesha au kumfundisha mambo ya kumpotosha maana kila atakachojifunza hakiondoki kilahisi kwenye akili zake.

4-miaka 14 hadi 28.hapa no steji ya kushangaa mambo ya duniani.katika steji hii epuka kumfundisha mambo ya stalehe za kidunia ,mf;:- kwenda disco ,stori za mapenzi nk.maana katika umli huu kila atachokiona duniani kwakwe ni mshangao.kwahiyo kunahatari ya kupenda baadhi ya mambo ya kidunia na kuyafuata.

5-miaka 28 na kuendelea.hapa numli wa utu uzima.
Hapa MTU anaweza kujitambua yeye ni nani,anaweza kua kiongozi wa familia hats ngazi ya taifa.

Kwahiyo wazazi wengi wanaweza kuwahalibu watoto wao kuwa wagumu kuelewa, kuamini wanacho amini,hata kutufundishika kama utamkosea kwenye steji ya kwanza hadi ya 3.
 
Acha kuwadharau watoto wako, unaweza ukawa wa mwisho na akili ukawanazo, Chamsingi unatakiwa kuwasoma watoto wako, kama na ww huna akili ya kuwasoma ndio kazi sasa.
 
Back
Top Bottom