Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,255
Believe it, leave itmmhh i dont think police wa Tanzania wanaweza kubuni mbinu dhaifu kama hii, mkuu naona umeichonga hii, ni vigumu mno kuiamini.
That's the fact.
Believe it, leave itmmhh i dont think police wa Tanzania wanaweza kubuni mbinu dhaifu kama hii, mkuu naona umeichonga hii, ni vigumu mno kuiamini.
Na mara zote mtu anayetaka ushahidi ni yule ambaye anafanya kitu gizani na kustukia watu wanajuataarifa zinakuja humu zinakuja na ushaidi so mtu hawezi kukurupuka kuja taarifa nyeti kama hiyo asiwe na ushaidi
kaka bado tu umo ndani ya chama kinachounda serikali yenye matatizo lukuki?dawa yao dua kali tu wazandiki wote hawa!
FUSO ndo washafanya hivo.mmhh i dont think police wa Tanzania wanaweza kubuni mbinu dhaifu kama hii, mkuu naona umeichonga hii, ni vigumu mno kuiamini.
loading.........
Naona hizi ni hasira.sdwcdghbweuyrfr vyev
Kudos Litvinienko Mkuu. Sasa washindwe wao tu.Kabsaaaaaaa wanitafute nitawapa live,
email: gilizarov@yahoo.com
kaka bado tu umo ndani ya chama kinachounda serikali yenye matatizo lukuki?
Hebu tuorozeshe migogoro iliyopo iliyoasisiwa na chama chako
1. Mgogoro wa Madaktari na Serikali - live
2. Migogoro wa Wakulima na wafugaji -- huu ni sugu
3. Mgogoro wa Walimu na Serikali --comming soon....
4. Migogoro wa Wanafunzi vyuo vikuu na Serikali -- huu ni sugu
5. Mgogoro wa ardhi kati ya wawekezaji na wananchi --- huu ni sugu
6. Migogoro kati ya Wachimbaji wadogo wadodo wa Madini na wawekezaji wakubwa wa migodi -- huu ni sugu
7. Migogoro kati ya Wamachinga na Halmashauri za Miji nchini -- na huu nao ni sugu.
8. Migogoro kati ya .....
Jipangeni kudanganya watu.... kazi za usalama zinagawiwa kama njugu!!?Ni kuhusu mtu wa usalama aliyepigwa na madokta siku alipoletwa Dr Ulimboka MOI baada ya kutekwa na kupigwa sana.
Zimefichuka baada ya Mlinzi (Chui Security wanaolinda MOI) kuitwa na kwenye kituo cha polisi Salenda BRidge na Askari anayeitwa Suzzie.
Alipofika aliwekwa kwenye chumba ambapo baada ya kusubiri kwa muda walikuja watu watatu wasio na gwanda na kujitambulisha kuwa wanausalama.
Walimuambia kuwa awape jina la daktari yeyote wa MOI ambaye hapatani nae halafu waandae document inayoonyesha kuwa huyo alimuona huyo dokta akiokota redio call/bastola na ataisaini hiyo document kama shahidi.
Aliahidiwa kuwa akifanya ivo atapata kazi usalama wa taifa, sambamba na donge nono la pesa.
Askari huyo (jina kapuni) alikataa kufanya ivo kwa sababu siku ya tukio hakuwa kazini.
Alifukuzwa kama mbwa baada ya kukataliwa njama yao.
My Take:
Serikali bado ina nia mbaya na huenda tukio lingine likatokea kwa dokta mwingine.
Wanagawa ardhi na madini, mali ya WATANZANIA WOTE wa sasa na vizazi vijavyo, washindwe kugawa kazi za usalama kwa ndugu na jamaa zao? Kwa Tanzania usishangae lolote.Jipangeni kudanganya watu.... kazi za usalama zinagawiwa kama njugu!!?