Njama za makanali wawili wa Ukraine kumuua Zelenskyy zatibuliwa huku Urusi ikihusishwa.

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
38,107
47,111
Vita vya uvamaizi vinavyoendelea kufanywa na Urusi dhidi ya Ukraine vimechukua sura ya tofauti kufuatia shirika la ujasusi la Urusi(FSB) kupanga njama za kumuua Zelenskyy kwa kushirikiana na makanali wawili wa kikosi cha ulinzi cha serikali ya Ukraine.

Mpango huo mahususi wa kigaidi wa mauaji ulikuwa ni mpana kumlenga Zelenskyy,Vasyl Malyuk, mkuu wa shirika la ujasusi la Ukraine(SBU) na Kyrylo Budanov, mkuu wa ujasusi wa jeshi.

Taarifa za kijasusi kutoka zinasema mauaji hayo yalikuwa yawe zawadi ya kuapishwa kwa Putin leo hii na mpango mzima ulikuwa karibia kukamilika kwa kuwtafuta ma- bodyguards wawili tu walio karibu zaidi na Zelenskyy kuufanikisha kikamilifu.

Wafanyakazi wawili wa FSB ya Russia, Dmytro Perlin na Oleksiy Kornev wamehusishwa kuwa mstari wa mbali katika njama hizo za ugaidi dhidi ya viongozi muhimu wa serikali ya Ukraine.
 
Sidhani! Kama Russia ingetaka kumwua Zelensiky ingekuwa ilishamaliza kazi muda mrefu!
Nataka kuamini hizo ni propaganda za nchi za NATO ambazo zinatafuta njia yo yote ya kupambana na Russia nchini Ukraine!
Hali ya Ukraine ni mbaya kwenye uwanja wa Vita!
 
Nani amuue huyo dead man who's still walking?
 
Sidhani! Kama Russia ingetaka kumwua Zelensiky ingekuwa ilishamaliza kazi muda mrefu!
Nataka kuamini hizo ni propaganda za nchi za NATO ambazo zinatafuta njia yo yote ya kupambana na Russia nchini Ukraine!
Hali ya Ukraine ni mbaya kwenye uwanja wa Vita!
endelea kuis mim wa jana na mimi wa leo , siku hazifanani
 
Ili kumalizia uvamizi kiurahisi
Waukraine wenyewe wapo tayari kuendelea kupigana na kufa huko vitani ?

Note: Hiyo habari yako imehusisha idara ya usalama na jeshi, unapaswa ujibu kwa makini hili swali kwa kuzingatia hii note
 
Vita vya uvamaizi vinavyoendelea kufanywa na Urusi dhidi ya Ukraine vimechukua sura ya tofauti kufuatia shirika la ujasusi la Urusi(FSB) kupanga njama za kumuua Zelenskyy kwa kushirikiana na makanali wawili wa kikosi cha ulinzi cha serikali ya Ukraine.

Mpango huo mahususi wa kigaidi wa mauaji ulikuwa ni mpana kumlenga Zelenskyy,Vasyl Malyuk, mkuu wa shirika la ujasusi la Ukraine(SBU) na Kyrylo Budanov, mkuu wa ujasusi wa jeshi.

Taarifa za kijasusi kutoka zinasema mauaji hayo yalikuwa yawe zawadi ya kuapishwa kwa Putin leo hii na mpango mzima ulikuwa karibia kukamilika kwa kuwtafuta ma- bodyguards wawili tu walio karibu zaidi na Zelenskyy kuufanikisha kikamilifu.

Wafanyakazi wawili wa FSB ya Russia, Dmytro Perlin na Oleksiy Kornev wamehusishwa kuwa mstari wa mbali katika njama hizo za ugaidi dhidi ya viongozi muhimu wa serikali ya Ukraine.
Ni uongo ili kufifisha news za putin kuapishwa hahaha
 
Back
Top Bottom