Tetesi: Njaa kali Liwale mkoani Lindi

sio kila majani ni mboga kwa maana halisi ya mboga. Kwa hiyo ukiona mboga maana yake na ugali au wali upo?
Maoni yako ayo mkuu, lakini niliona mie kwa macho yangu azam tv, katika kipindi chao cha alasiri lounge, moja kwa moja kutoka liwale...
 
Kazi iyo ya kugawa msosi, ni kazi ya wakuu wa kaya, mie ananijua nani mkuu?

Kusaidia mtu mwenye njaa siyo lazima ujulikane ni swala la ubinadamu tu, kama ukienda na chakula chako kwa mtu mwenye njaa hawezi kukurudisha nacho!
 
Kusaidia mtu mwenye njaa siyo lazima ujulikane ni swala la ubinadamu tu, kama ukienda na chakula chako kwa mtu mwenye njaa hawezi kukurudisha nacho!
Mkuu maneno matupu ayavunji mfupa, unatakiwa na wewe uonyeshe mfano..
 
Mkuu maneno matupu ayavunji mfupa, unatakiwa na wewe uonyeshe mfano..

Mimi sijaleta habari ya njaa hapa, wewe ndiyo uliyoleta hivyo maana yake ni kwamba umeguswa sana na mateso ya watu wa Liwale, hivyo nilitegemea uwasaidie1
 
Back
Top Bottom