Tetesi: Njaa kali Liwale mkoani Lindi

Abbassalum

JF-Expert Member
Dec 11, 2016
338
176
Kuna taarifa kutoka liwale mkoani lindi wamekumbwa na balaa la njaa, mpaka wanashindia mizizi poli, chanzo azam tv lakini mpaka sasa kitengo cha maafa kutoka of is I ya waziri mkuu awajathibitisha...!!
 
Wameonesha mboga unasema njaa kali, mnajua njaa kali nyie au njaa njaaaaa ikoje haswa?
Kuna pic mchanganyiko hapo angalia izo zingine utamkuta mama hapo, chakula chake anakiandaa, sasa sijui ndio iyo mizizi, angalia vizuri mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…