Njaa Dodoma: Wananchi wala wadudu aina ya Viwavi Jeshi

kwa nini watu mnachukia watu wa dodoma hiv? ccm ndio wanawadanganya na kuwahadaa ila sio kosa lao
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni kweli inasikitisha sana, na sasa wakati umefika wa kila Mtanzania kujitolea kile alichonacho kusadia ndugu zetu, ni ajabu sana mtu kama fisadi Lowasa anajimilikisha ranchi yetu ya Taifa anajaza ng'ombe maelfu kwa maelfu kwa ajili ya kupiga nao picha tu wakati watu wetu wanakula wadudu, kwa nini kama kweli ni mtenda haki asijitolee lori moja tu lililojaa ng'ombe na kuwampelekea hao wanaokula wadudu?

Inasikitisha sana kwa kweli!


Unatafuta mme!! Kwani Serikali imeishiwa au haina Chakula kwenye maghala yake!?
Try to think as a man.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wananchi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanaripotiwa kula wadudu aina ya viwavi jeshi wanaojulikana kama fumbili kutokana na tatizo la njaa wilayani humo.


viwavi.jpg


Chanzo:Mwananchi online

Hii ni aibu kubwa na ni fedheha pia.

Hii ndio picha ya kiwavi jeshi katika gazeti husika

viwavi.jpg
Teeeee teeeeee teeeeeeee hivi ni ile wilaya iliyo ongoza kwa % kubwa kuipatia ccm ushindi kitaifa?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mimi sijapora ranchi ya Taifa na isitoshe uwezo wa kuwalisha wananchi wetu wenye njaa sina kwani mimi mwenyewe kupata mlo uliokamilika ni ishu ila fisadi Lowasa anaweza hili ni swala Utu tu, badala ya kuwatumia wanyama kama ng'ombe kupiga nao picha na kuzisambaza Dunia nzima angeweza pia kuchukuwa baadhi ya ng'ombe na kuwagawia masikini hivi ndivyo mafundisho yanavyowataka matajiri kufanya!
Lowasa atawashukuru waliomsapoti hao waliokunywa rangi ya kijani wacha wale kiwavi
 
Umeneno kiongozi. Watu siku hizi hawana utu kabisa
Kwenye bomoabomoa ya dsm mlisema wanao bomolewa wanaisoma namba kwa kuwa waliichagua ukawa,sasa hao walio ichagua chichiyemuuu wacha waisome namba kwa kubugia viwavi
 
Kumbe chdema inaletaga chakula? Baasi sawa... ila ushabiki mwingine unaweza ondoa hata chembe ya ufahamu kwenye ubongo ukaonekana mbumbumbu
Sawa na mlivyokuwa mna kenua mimeno yenu wakati wa bomoa bomoa na kuwaambia waathirika wanaisoma namba ya ccm hamkujua kuwa jua siku zote halina mipaka?
 
Sawa na mlivyokuwa mna kenua mimeno yenu wakati wa bomoa bomoa na kuwaambia waathirika wanaisoma namba ya ccm hamkujua kuwa jua siku zote halina mipaka?
Kumbe waliobomolewa ni chadema hakuna ccm.....unazidi kunishangaza. Hao walobomolewa ccm wapo na hao wenye njaa chadema pia wapo. Mvua huja kwa ccm na chadema na njaa pia kwa wote haichagui chama. Tatizo chadema mnadhan kila mwanachama wenu ana pesa hajapatwa na hayo majanga. Binafsi mi sio ccm na wala sina mpango wa kujiunga. Chama changu sio moja ya hvy vyama vikubwa vinakejeliana kila kukicha but I argue with reason sio ushabiki
 
Kumbe chdema inaletaga mvua? Baasi sawa... ila ushabiki mwingine unaweza ondoa hata chembe ya ufahamu kwenye ubongo ukaonekana mbumbumbu
Mkuki kwa nguruwe siyo?wacha waisome namba hao
 
hivi hao viwavi jeshi si wanakuwa sehemu yenye majani mengi? sasa hayo majani yanayoliwa na viwavi jeshi kwa nini wasingepanda mazao, maana kama majani yamestawi pia lazima kuna mazao ambayo yangestawi, let's face it watu wa dodoma wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na ni wavivu mno, CCM au CHADEMA haikuletei CHAKULA nyumbani kwenu kama unashindwa kulima
 
Back
Top Bottom