Simphorinyo
Member
- Apr 27, 2020
- 46
- 80
Mm ni mzanzibari, ninapoishi Zanzibar nimezungukwa na nyumba nne zote za wabara, na wote ni wafanyakazi wa mahoteli, na wanamiliki nyumba zao, hawajapanga.Mngebakuliwa msingejazana apo ilala na kibada!!acha kulialia wakati wabara wanawasitiri sana,mshukuru Mungu sana,mpk ardhi mnanunua,mnajenga,wengine wameo huku wkt wabara hata sqm moja hawaruhusiwi kumiliki pemba wala unguja!!
Unaposema hawaruhusiwi kumiliki ardhi una ushahidi gani?
Maeneo ya kiboje, kaburi moja, mazense, dongongwe, dole n.k. waruguru/walugulu wanamiliki mashamba ya spice, especially pilipili manga.
Kama hujui pita kimya, sio lazima kila thread uandike.