Niulize chochote kuhusu tiba ya mionzi

Mkuu ninashemeji yako ajaenda haja kubwa wiki yapili hii hivi tatizo linaweza likawa ninini? Au nn kinaweza kupelekea mtu asiende haja kubwa kwasiku zote hizo naomba unisaidie
 
Mkuu ninashemeji yako ajaenda haja kubwa wiki yapili hii hivi tatizo linaweza likawa ninini? Au nn kinaweza kupelekea mtu asiende haja kubwa kwasiku zote hizo naomba unisaidie
Daaa ...Cha kwanza Nikushauri nenda hospital Daktari atakwambia nini cha kufanya....Sababu zipo nyingi vyakula...lakini kuna mambo mengine ambayo yaweza pelekea hivyo mfano ni Slow movement of stool katika utumbo mkubwa.....Inflamatory bowel disease mambo ya infections (bacteria) pia matatizo mengine katika Colon

Sasa Daktari akiuandikia kipimo kimojawapo ha hvyo nilivyo taja hapo juu Utaniuliza lakini kwenye CT scan na X ray inaweza kuonekana

Mfano
Constipation.JPG

Hiyo ni picha ya x ray ya mtu ambae hajaenda haja kubwa kwa mda mrefu na hivyo vilivyo zungushiwa ni kinyesi! So nitatizo hilo mpeleke Hospital Bro
 
Mfano View attachment 506338

Hiyo ni picha ya x ray ya mtu ambae hajaenda haja kubwa kwa mda mrefu na hivyo vilivyo zungushiwa ni kinyesi! So nitatizo hilo mpeleke Hospital Bro
Nashukuru mkuu kwaushaur wako maana leo nimempeleka hsptl dokta akampima vitu tofaut akamkuta anataiford eti dokta akasema hata taiford yaweza kupelekea hali hiyo kwahiyo amemuanzishia tiba yataiford sasa hapo bado aijaniingia akilini ndio nasubiria matokeo yake yatakuaje
 
Yeah inaweza sababishwa na Vitu vingi so sikilizia kwanza
 
Mkuu mdogo wangu,ana uvimbe kwa nje unaonekana katika tumbo so kuna maumivu anapata.naskia wamemwambia apige ultra sound,je ni sawa inatakiwa afanye ivo kwa hilo tatzo na je haina madhara iyo mionzi ya ultra sound??
 
Uvimbe nje ya Tumbo au nje ukiwa na Maana Gani.....Ultrasound inasaidia Kutambua Intra abdominal Masses nyingi zilizopo Tumboni na Ikishindwa au wakitaka kuona kiundani na ukubwa wa Huoo uvimbe watamuomba Afanye CT scan! CT SCAN ITaonesha viruzi uvimbe huo na kwa kutumia Contrast itaweza kuinesha kama Upo vasicularized au vipi yaani kama unaenda kukua au vipi....wataupima size yake....Baada ya hapo Operation itafuta

Ultrasound Inatumia Sound waves kuproduce image hivyoo haina Madhara yoyote yale ya Mionzii.....Na mtu anaweza akawa na uvimbe tumboni mkubwa hadi nje ya mwili kabisa anaonekana Kavimba au tumbo kubwaa....mfano Mama mwenye Ovarian mass au Intraabdominal mass yoyote ile unaweza dhani ni mjamzito kumbe sio kabisaa ni uvimbee
 
Habarini....Kwasasa kuhusu Tiba...Mambo yamebadirika....Clinical Medicine inaanza kupotea kwa Kasi na Clinical Imaging inakuja kwa kasi sanaa...!!! Hapa naamanisha kuwa Ukienda hospitalini vipimo vingi wasipo kwambia Maabara basi watakutaka uende Radiology Department! Madaktari siku hizi hawataki kuumiza kichwa...Wanakambia kwenye Medical Imaging na kwao inakuwa rahisi kuamua Nini cha kufanya!

Medical Imaging inahusisha...Vitu vifuatavyo nitaichambua kifupi sana lakini kupitia maswali yenu ndio tutapata vitu vingi zaidi

1)PLAIN X-RAY-Hii ni common sana sehemu nyingi na vitu vitakavyo pelekea wewe kufanya Plain X-Ray ni kama Ajari labda umevunjika mguu,kiuno au kitu chochote katika mwili hii itasaidia kuonesha tatizo kwa haraka,Mtoto kumeza sarafu,matatizo ya kifua ambapo Chest X-Ray ndio common Sanaa! Kukabwa na mfupa,mtu akipigwa risasi kama imebaki mwilini,matatizo ya uzazi na mengine mengi itategemea na Daktari amekuandikia nini

......Ndani ya Plain X-Ray kuna Vipimo special ambavyo vinaweza kufanyika kama barium swallow,Barium Enema,Barium Meal,HSG,IVU kuangalia Figo! Na vingine vingi

2)ULTRASOUND-Hii pia hufanyika hasa kwa kina Mama wenye mimba,Matatizo ya uzazi,au matatizo mengine yoyote kwa mtu yoyote yanaweza kufanyika kama kuangalia mishipa ya Damu,vitu vyote vilivyopo tumboni na matatizo mengine

3)CT SCAN-Hii inafanya vitu vyote vinavyo fanywa na PLAIN X-RAY na ultrasound ila inavitu vingine vya ziadaaa na vingi!!!

4)MRI-Hii pia unaweza kuangalia vitu vinavyo fanywa na CT scan....Hasa soft tissue

5)MAMOGRAPHY-hii kwa wanawake kuangalia Matiti

6)Nuclear Medicine-Hapa bongo Haipo

Sasa hapo juu nimeelezea kwa juu juu sana sababu inavitu vingi sanaaaaa!! Niulize chochote nitakusaidia kukuelekeza....Kuanzia

1)MAANDALIZI
2)GHARAMA
3)UMUHIMU
4)JINSI KIPIMO KINAVYO FANYIKA
5)TOFAUTI ZAKE

Hapa mimi nitakuelekeza kadri ya uelewa wangu japo nikupe mwanga wa nini kinaenda kufanyika...utajisikiaje na ushauri mwingine wowote unao husu hivi vipimo!

Sidhani kama hospital au doctor huwa anakuelezea itakavyo kuwa!

Na wengi wamekuwa na imani potofu kuhusu hivi vipimo lakini hapa tutaelimishana!!

Japo upate mwanga kabla ya kufanya kipimo

Kumbuka Vipimo hivi vinaweza kufanyika sehemu yoyote ile ambayo vipo! Na wajuzi wengine mtasaidia kujibu maswali

Karibuni
 
Kwa mtu ambaye ameshakuwa " exposed to radiation" anaweza kufanya nini kupunguza au kuondoa uwezekano wa kupata madhara hapo baadae. (mionzi hii ya Plain X rays na CT scans)
 
Kwa mtu ambaye ameshakuwa " exposed to radiation" anaweza kufanya nini kupunguza au kuondoa uwezekano wa kupata madhara hapo baadae. (mionzi hii ya Plain X rays na CT scans)
Hamna Cha kufanya.....Ukisha kuwa exposed umeshakuwa Exposed hamna kitakacho weza kufanyika labda uwe umepata madhara ya haraka kama kutapika unaweza pelekwa Emergency department kwa huduma zaidi!

Wajibu wa Radiographer na Medical doctor ni kumkinga Mgonjwa na Mionzi,Wafanyakazi,Yeye mwenyewe na Watu wengine! Kwasababu ukiwa exposed umesha kuwa exposed ndio maana baada ya kipimo Radiographer atakwambia mengine yote lakini hawezi kukwambia nenda kafanye hiki hiki ili kuondoa madhara ya baadae ya Mionzi...
 
Back
Top Bottom