Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 20,775
- 42,585
Karibuni wakuu...
Niulize Chochote kuhusu kazi za viwandani
Niulize Chochote kuhusu kazi za viwandani
Swali zuri kabisa mkuu..Kwanini si rahisi sana kupata Watu wanaofanya kazi kwenye viwanda vya soda wanazuzuka na hizo bidhaa na pengine wasitumie kabisa tofauti na asiye mfanyakazi maeneo hayo?
Ubinadamu ni kazi w/The humanity is work.
Nipp hapa uliza swali mkuuMleta mada, karibu!
Mweh. Ndio umemjibu hivyo alichokuuliza!Swali zuri kabisa mkuu..
Kwanza jua kabisa kwenye viwnda hvi vya vinywaji... Hasa soda na juisi kule kunywa ni wewe tu ila huruhusiwi kutoka nayo nje..
Mara nyingi unakuta mtu ataenda na skonzi zake au mandazi ila kinywaji anajua uwakika.. most of them ni unskilled
Kwanza jua kabisa kule ni kazi kazi hata kama iwe rahisi vipi ila mda utakaofanya itakufanya uhisi unaonewa..Sijawahi skia wafanyakazi wa viwandani waki zungumzia kazi Yao vizuri hasa kwenye malipo hii imekaadje
Tafuta laki ya agent feeMweh. Ndio umemjibu hivyo alichokuuliza!
NimekuuelewaKwanza jua kabisa kule ni kazi kazi hata kama iwe rahisi vipi ila mda utakaofanya itakufanya uhisi unaonewa..
Kwenye mshahara ni mdogo kutokana na large scale of pipoooo just imagine kwa siku mnapewa 7000 ambayo inatolewa kwa watu zaidi ya 300... Unazani kwa siku bosi inabidi atoe shingap..
Ndo mana lazima apunje
Ndo maana zinaitwa unskilled... Au cheap.Malipo yapoje? Je Sheria za kazi mfno likizo,overtime,? Nasikia pia Kuna manyanyaso huko izo kazi vipato haviendani na kazi?
Mi mwenyewe nimeamua kukaa kimya tu nisije kumuharibia Uzi, kiufupi Watu aina hao tunaishi nao na majibu yao tunayo.Mweh. Ndio umemjibu hivyo alichokuuliza!
kama uendeshaji wa viwanda unafanana ulimwenguni, basi vibarua viwandani wana tabu sana hasa chinaKwanza jua kabisa kule ni kazi kazi hata kama iwe rahisi vipi ila mda utakaofanya itakufanya uhisi unaonewa..
Kwenye mshahara ni mdogo kutokana na large scale of pipoooo just imagine kwa siku mnapewa 7000 ambayo inatolewa kwa watu zaidi ya 300... Unazani kwa siku bosi inabidi atoe shingap..
Ndo mana lazima apunje
Bima NHIFWafanyakazi na vibarua wanakatiwa bima ya aina gani
Je kibarua asie na bima endapo ataumia au kufariki kazini ni malipo kiasi gan utolewa kwa mgojwa au familia ya marehemu,
Je kibarua anaruhusiwa kukishitaki kiwanda na ni njia gan rahis anaweza itumia kupata haki zake kirahisi
Mchina ni hatar na nusu..kama uendeshaji wa viwanda unafanana ulimwenguni, basi vibarua viwandani wana tabu sana hasa china
Mkuu kazi ngumu .Kwa nini unskilled wengi wa viwandani wako kama watu ambao wamechanganyikiwa?