mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,645
Huna hoja...............ILA MASUALA MENGINE NIKO SAWA!!
Lissu kwa taarifa yako serikali inamtegemea katika kutatua mambo tata ya kisheria......Fuatilia escrow na mambo mengine bungeni jinsi serikali inavyomsikiliza Lissu.
Muulize zitto aliposhinda na kuwa mbunge wa mahakama alafu kibao kilipokuja kumgeuka alafu kwa sasa ulizia taarifa zake anapatikana wapi
kwenye top 5 lazima atapita,mwigulu,ngoma itakua kwenye mchakato wa mwisho,na wakicheza anaweza kupenya
hongera kwa kutumia haki ya kikatiba vizuri, maoni yangu ni kuwa ukiacha siasa za maji taka unafaa kuwa waziri mkubwa na sio urais kwa sasa.Nitazungumza na Watanzania kutoka Makao Makuu ya Nchi-Dodoma, Mazungumzo yangu nanyi yatajikita kuomba ridhaa ndani ya Chama ya Kugombea nafasi ya Uras wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tukiwa tunaianza safari ya Kuelekea Miaka 50 tena ya Taifa letu, Naomba usipitwe na Mazungumzo yangu yatakayokuwa LIVE kupitia Redio na Televison Mbalimbali hapa Nchini.
Siku ya Jumapili, Saa 9 Alasiri hadi 12 Jioni, Chuo Cha Mipango Dodoma.
Ukumbi: Mwl.Nyerere Hall "
WAKATI NI SASA,MABADILIKO KWA VITENDO"
Nitazungumza na Watanzania kutoka Makao Makuu ya Nchi-Dodoma, Mazungumzo yangu nanyi yatajikita kuomba ridhaa ndani ya Chama ya Kugombea nafasi ya Uras wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.