Nitaunga mkono endapo Mwakyembe atalifungia gazeti LA Mtanzania kwa uongo huu

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Leo gazeti LA Mtanzania limechoza na kichwa cha habari ambacho kimewekwa kama habari kuu kikiuarifu umma kuwa " SERIKALI YATANGAZA AJIRA 52436" ukisoma undani Wa habari wameandika kuwa waziri akijibu swali bungeni alisema kuwa serikali inakusudia kuajiri 52436 kwa mwaka Wa fedha 2017/2018. Sasa kwa haBari hii ni wapi serikali imetangaza Ajira kama siyo uandishi Wa kikuda na Wa kupotosha watu ili wavutiwe kununua gazeti hilo.? Huu uongo Wa kibiashara haukubaliki, ninashauri waziri mwakyembe alichukulie hatua gazeti hili ili wajifunze kuadnika habari vizuri. Gazeti hili lifungiwe maisha au kwa miaka kadhaa ili iwe funzo kwa magazeti mengine na waandishi uchwara
 
Hili nilitaka kununua nisome hiyo habari kumbe ni upuuzi huo ndio waliouandika, hawa wanatakiwa wapewe vibao vya kisogoni
 
Wewe kama huna ajira nenda kalime pumbavu
 
Nenda kashike jembe wewe mbugila
Niliandika comment ya kukutusi.
Nikajitafakari.
Nikaifuta baada ya kujiridhisha kua uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo sana.
Pia sikua tayari kuweka rehani wasifu wangu.
 
Hahahahaaa jamaa kabana ajira mpaka watu mnakuwa wakali hatari....
 
UNAYAJUA MADHARA YA HATUA HIYO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…