Nitapata wapi mtu wa kudhamini wazo langu la kibiashara?

baki na wazo lako hivo hivo...halafu tuone itakuwaje. ati udhaminiwe bila bond , labda uarabuni but sio tz aisee.
WEWE NAWE UMETOKEA MSITU GANI? WEWE KAMA UNAWEZA MSAIDIE NA USEME UNASAIDIA KWENYE NYANJA ZIPI.UNATAKA PLAN ZA MWENZAKO AZIWEKE HADHARANI IWEJE.
 
WEWE NAWE UMETOKEA MSITU GANI? WEWE KAMA UNAWEZA MSAIDIE NA USEME UNASAIDIA KWENYE NYANJA ZIPI.UNATAKA PLAN ZA MWENZAKO AZIWEKE HADHARANI IWEJE.
We ndio hujitambui sasa, yani sikujui nianze tuu kukupa pesa yangu, sijui hata itarudi vp, fanya hata kunipa matumaini. , mwambie aende bank kama kweli hilo wazo lake ni dhahabu sana. Eboh.
 
We ndio hujitambui sasa, yani sikujui nianze tuu kukupa pesa yangu, sijui hata itarudi vp, fanya hata kunipa matumaini. , mwambie aende bank kama kweli hilo wazo lake ni dhahabu sana. Eboh.
NAONA WE MGENI KWENYE MASUALA YA BUSINESS PLAN NA MASUALA MAZIMA YA FEDHA.MTAFUTE UMSIKILIZE SIO AWEKE BUSINESS PLAN YAKE HADHARANI.KWANZA HUNA PESA NDIO MAANA UNAONGEA SANA.
 
NAONA WE MGENI KWENYE MASUALA YA BUSINESS PLAN NA MASUALA MAZIMA YA FEDHA.MTAFUTE UMSIKILIZE SIO AWEKE BUSINESS PLAN YAKE HADHARANI.KWANZA HUNA PESA NDIO MAANA UNAONGEA SANA.
Wewe mwenye pesa unangojea nini kumdhamimi
Acha tabia za ki nyumbu
 
nashukuru Kaka, na mimi ndo maana kutaja hapa inakuwa ngumu mpaka pale nikiwa na mawasiliano na mtu officially ambae yuko tiyari
best siku zote mawazo ni yale yale ila namna utavyoimplement wazo lako ndivyo litakavyokuweka kwenye peak. halafu unaweza ukahisi hakuna kabisa kumbe sabb unalificha si ajabu watu walishajaribu hilo jambo na halikuwa na mafanikio.
 
Sasa kama watu mnakuwa wachoyo kwenye mawazo ya biashara, Je chakula tutakaribishana?
 
Back
Top Bottom