kama mtu yuko tiyari kunidhamini naomba ani PMwakubwa shikamoo na wadogo zangu habarini!
Nina wazo la kibiashara na kwa hapa Dar es salaam sijaona kitu kama hicho.
Gharama ya kukamilisha hili wazo kuwa biashara halisi inahitajika kuanzia milion 3 mpaka 4. Tatizo ni kwamba mimi sina kiasi hicho cha fedha kwa sasa! Pia wazo lenyewe hili la kibiashara linaweza kuonekana kama ni small scale ila likidhaminiwa vizuri (mtaji ukiwa mkubwa) linaweza kuwa large scale!
sasa je wapi naweza kupata mtu wa kunidhamini?
a) bank wanaweza kunidhamini bila ya mimi kuwa na dhamana kama nyumba au ardhi?
b) je mtu binafsi anaweza kunidhamini bila ya kuhitaji asilimia katika faida? mimi kwa hapa nahitaji mtu akinidhamin labda kama mkopo nimlipe kidogo kidogo malipo ya mkopo ila akinidhamin kama msaada nitashukuru zaidi.sijapenda ya kushare profit kwa sababu bado mradi unakuwa haujasimama vizuri
kama kuna mtu ana uzoefu na hali kama hii naomba msaada wenu tafadhari.
nawasilisha!
ndio maana huna maendeleo kwa kuwa selfishUsithubutu kuweka wazo lako, watakuibia! Nenda mpelekee Mzee Mengi, peleka kwenye mabenki na tafuta watu Ila usitoe wazo lako, utajuta, naongea kwa experience
nashukuru Kaka, na mimi ndo maana kutaja hapa inakuwa ngumu mpaka pale nikiwa na mawasiliano na mtu officially ambae yuko tiyariUsithubutu kuweka wazo lako, watakuibia! Nenda mpelekee Mzee Mengi, peleka kwenye mabenki na tafuta watu Ila usitoe wazo lako, utajuta, naongea kwa experience
Sasa mtu atakuaje tayari kama hajui wazo lako??nashukuru Kaka, na mimi ndo maana kutaja hapa inakuwa ngumu mpaka pale nikiwa na mawasiliano na mtu officially ambae yuko tiyari
kama mtu yuko tiyari kunidhamini naomba ani PM
Usithubutu kuweka wazo lako, watakuibia! Nenda mpelekee Mzee Mengi, peleka kwenye mabenki na tafuta watu Ila usitoe wazo lako, utajuta, naongea kwa experience
Wazo lisijekuwa la kuoahilo wazo likowapi umebaki kujieleza tu.
swissme
UNATAKA WAZO LA MWENZAKO ULIJUE ILI IWEJE KAMA SIO MWIZI UNATAKA KUMUIBIA.hilo wazo likowapi umebaki kujieleza tu.
swissme
kwa hiyo asaidiwe hewa.UNATAKA WAZO LA MWENZAKO ULIJUE ILI IWEJE KAMA SIO MWIZI UNATAKA KUMUIBIA.
wakubwa shikamoo na wadogo zangu habarini!
Nina wazo la kibiashara na kwa hapa Dar es salaam sijaona kitu kama hicho.
Gharama ya kukamilisha hili wazo kuwa biashara halisi inahitajika kuanzia milion 3 mpaka 4. Tatizo ni kwamba mimi sina kiasi hicho cha fedha kwa sasa! Pia wazo lenyewe hili la kibiashara linaweza kuonekana kama ni small scale ila likidhaminiwa vizuri (mtaji ukiwa mkubwa) linaweza kuwa large scale!
sasa je wapi naweza kupata mtu wa kunidhamini?
a) bank wanaweza kunidhamini bila ya mimi kuwa na dhamana kama nyumba au ardhi?
b) je mtu binafsi anaweza kunidhamini bila ya kuhitaji asilimia katika faida? mimi kwa hapa nahitaji mtu akinidhamin labda kama mkopo nimlipe kidogo kidogo malipo ya mkopo ila akinidhamin kama msaada nitashukuru zaidi.sijapenda ya kushare profit kwa sababu bado mradi unakuwa haujasimama vizuri
kama kuna mtu ana uzoefu na hali kama hii naomba msaada wenu tafadhari.
nawasilisha!
Kwa mfano mimi nawaza kuanzisha kilimo cha matikiti maji,napaswa kulipia hili wazo au nikishaanza kulima ndo nalipia mbegu na madawa na kadhalika?wakubwa shikamoo na wadogo zangu habarini!
Nina wazo la kibiashara na kwa hapa Dar es salaam sijaona kitu kama hicho.
Gharama ya kukamilisha hili wazo kuwa biashara halisi inahitajika kuanzia milion 3 mpaka 4. Tatizo ni kwamba mimi sina kiasi hicho cha fedha kwa sasa! Pia wazo lenyewe hili la kibiashara linaweza kuonekana kama ni small scale ila likidhaminiwa vizuri (mtaji ukiwa mkubwa) linaweza kuwa large scale!
sasa je wapi naweza kupata mtu wa kunidhamini?
a) bank wanaweza kunidhamini bila ya mimi kuwa na dhamana kama nyumba au ardhi?
b) je mtu binafsi anaweza kunidhamini bila ya kuhitaji asilimia katika faida? mimi kwa hapa nahitaji mtu akinidhamin labda kama mkopo nimlipe kidogo kidogo malipo ya mkopo ila akinidhamin kama msaada nitashukuru zaidi.sijapenda ya kushare profit kwa sababu bado mradi unakuwa haujasimama vizuri
kama kuna mtu ana uzoefu na hali kama hii naomba msaada wenu tafadhari.
nawasilisha!
Kwa biashara ya m3 na bado unataka kutuaminisha kuwa ni wazo jipya ktk biashara kwa hilo sikubaliani na wewe maana kwa kilimo cha biashara haitoshi kwa biashara ya duka ni kama kodi ya fremnashukuru Kaka, na mimi ndo maana kutaja hapa inakuwa ngumu mpaka pale nikiwa na mawasiliano na mtu officially ambae yuko tiyari