asante mkuuFast jet mkuu vip?,duu Dar kiwinta hivi je huko Mbeya itakuwaje?...safiri salama mkuu..
ahsante kwa kunipa angalizo!!Rungwe express is the best! Huduma nzuri, lugha nzuri, mwendo mzuri na uhakika wa kufika na mkubwa. Usisahau gloves, sweta/koti zito, mafuta ya mgando na kofia.
Ilasi ndo mwendokasi au new force...hizo gari ndo za kwanza kufika....
Keshokutwa nategemea kwenda Mbeya kikazi na nitakuwepo pale kwa siku 5. Sijawahi kufika kabisa nyada za juu kusini, naombeni mnitajie basi zuri na linalokimbia sana ili niwahi kufika jijini Mbeya mapema. Karibuni mtiririke wadau...
Kuna
network
Nganga
Superfeo
Shabibi
Abood
Rungwe
Kwa speed ni superfeo na nganga
Ipo ya mbeya dar ipo dar songea ipo dar tunduma ipo mbeya arusha