Aaahahahahhaha mkuuuNa mimi kuanzia leo sipangiwi kitu cha kupost humu maana simu ni yangu, bundle ni langu na hata wakati nanunua nilikwenda dukani mwenyewe na kuchagua aina ya simu mwenyewe. Sipangiwi!
Mimi ndio naamu hiki ni post jukwaa hili, kile kikae jukwaa lile, msiniingilie...
Aaaaah mkuu ww post tuu, ni mwendo wa kupost tuu, hata kama ukiwa toilet unashusha mzigo we post tuu ,kwa nn upangiwe ww post tuuNa mimi kuanzia leo sipangiwi kitu cha kupost humu maana simu ni yangu, bundle ni langu na hata wakati nanunua nilikwenda dukani mwenyewe na kuchagua aina ya simu mwenyewe. Sipangiwi!
Mimi ndio naamu hiki ni post jukwaa hili, kile kikae jukwaa lile, msiniingilie...
Mbona yule mtemi Jana kasema hapangiwi hamjamwambia awe na milki yakeBasis kuwa na jf yako mwenyewe
watu mnatoa wapi majibu,nimecheka sana!!!Utakachopangiwa ni ndoo ya kunyea tu.