Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

nilisema vile sababu najua ntu kwao, na anayekataa kwao ntumwa ! yee arudi tu asiwe na wasi, kwani anasubiri akina nani wamjengee nchi then ndio arudi ?

nchi inayobomolewa na mafisadi ni ngumu kuijenga.....na mafisadi imekuwa ngumu kuwang'oa kwani wanalindana kama kuku na vifaranga.
 
Mkuu Mtanganyika,

Kurudi kuishi nyumbani Tanzania kunategema na mambo mengi.

Je una mipango gani ya kibiashara kama unataka kufanya biashara ambapo inabidi(kwa tathmini yangu) uwe na paundi 100,000 kwa ku-set up biashara yako na kuanza kui-run. Hizo ni kwa maandalizi ya biashara yako ambayo pia inategemea ni biashara ya aina gani.

Lakini kama biashara ni kama duka, uuuzaji magari, kumiliki daladala, internet cafe, na mambo mengine kama hayo unahitaji pungufu ya hapo tuseme paundi 60,000.

Hapa kama unaishi Uingereza unaweza ukanunua magari makubwa yale ambayo ni used kwa less than £10,000 na ukaanza biashara na kuingia Kilosa na sehemu zingine.

Haya mambo yote ni provided kwamba tayari una assets kama nyumba umenunua au umejenga, gari ya kutembelea na fwedha benki ambayo inacheza kama paundi 20,000 na huigusi.

Pia unatakiwa uwe na hisa katika kampuni mbalimbali kama za simu,TBL, na kwingine.

Hivyo mkuu inabidi uwe na Business Plan ya nguvu ambayo ni siri yako na ndio biblia yako.

Unajua wenzetu wa West Afrika waloona mbali waliweza kufaidika na Ulaya ya enzi zile lakini kwa sasa inabidi uwe na maarifa zaidi, ya halali.
 
Nadhani unatakiwa kuwa na Plan kuliko kuwa na hizo Pound unazozitaja.

Hata ukiwa na Pound 1000 unaweza rudi Tanzania ukaanza maisha Rasmi ya kuukata. Tatizo kila siku ni Plan.
 
Mkuu Mtanganyika,

Kurudi kuishi nyumbani Tanzania kunategema na mambo mengi.

Je una mipango gani ya kibiashara kama unataka kufanya biashara ambapo inabidi(kwa tathmini yangu) uwe na paundi 100,000 kwa ku-set up biashara yako na kuanza kui-run. Hizo ni kwa maandalizi ya biashara yako ambayo pia inategemea ni biashara ya aina gani.

Lakini kama biashara ni kama duka, uuuzaji magari, kumiliki daladala, internet cafe, na mambo mengine kama hayo unahitaji pungufu ya hapo tuseme paundi 60,000.

Hapa kama unaishi Uingereza unaweza ukanunua magari makubwa yale ambayo ni used kwa less than £10,000 na ukaanza biashara na kuingia Kilosa na sehemu zingine.

Haya mambo yote ni provided kwamba tayari una assets kama nyumba umenunua au umejenga, gari ya kutembelea na fwedha benki ambayo inacheza kama paundi 20,000 na huigusi.

Pia unatakiwa uwe na hisa katika kampuni mbalimbali kama za simu,TBL, na kwingine.

Hivyo mkuu inabidi uwe na Business Plan ya nguvu ambayo ni siri yako na ndio biblia yako.

Unajua wenzetu wa West Afrika waloona mbali waliweza kufaidika na Ulaya ya enzi zile lakini kwa sasa inabidi uwe na maarifa zaidi, ya halali.

Business world ndio maisha yangu yalipo. Kuanzisha bishara usiyokuwa na asili nayo ni mmoja ya haratari kubwa sana. Mtaji sio tatizo kwani i can always secure long time debt. Tatizo ni skyrocket interest rate zinazotolewa na Bank za Tanzania, na hili linatishia sana anga zote za investments.

Kuanzisha biashara ya kusafirisha biashara kusema kweli sina idea nayo. Sema naweza kuanzisha commodity trading facility, watu wakaweza kununua future contracts za mazao mbali mbali, hili litawasaidia kuhedge risk zao. However, investment vehicle kama hii ni mpya Tanzania, so i expect watu wachache wenye exposure na trading ndio watajoin roller coster.

Kuinvest kwenye equity yaani stock market ya bongo risk yake ni kubwa sababu hakuna transparency. Siwezi kuwekeza sababu TBL kwa miaka mitatu mfululizo wameweza kulipa devidends zao, bali ni kama tuu nitaona financial statements zao, na kurun SWOT test nakujua nini wanafanya kitakochangia mauzo yao kwenda juu, na kumaintain devidends payments.
 
Rudi nyumbani utakapo kuwa tayari ,namaana jitayarishe ujue utafanya nini.Kuhusu hizo kupanda na kushuka kwa shilling kuna jinsi nyingi ya deal na hilo.
Pia unatakiwa mchangawako ktk nchi yako kama unakumbuka Rais JF Kennedy alisema "usiulize nchiyako itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini nchi"Kweli tunaitaji utawala bora ili tuendelee ila tunakuitaji wewe pia kubadilisha hilo.
 
Kama unazo pesa za kuinvest peleka MOZAMBIQUE

GT nimesikia hata na baadhi ya jamaa zangu kwamba hata stock exchange yao in high liquidity compare na yetu ya Tanzania. Hiyo inamake alot of sense.

Nji nyingine ambayo wanacheza na investments vehicles nimesikia ni Malawi and Botswana. Sababu kuna mtu aliniambia kuhusu real estate zao zina appriciate kwa double digit. However, sijui kuhusu legel system ya nchi hizo. Can every one own business? What are the legel system? tax syestem yao? w
 
Rudi nyumbani utakapo kuwa tayari ,namaana jitayarishe ujue utafanya nini.Kuhusu hizo kupanda na kushuka kwa shilling kuna jinsi nyingi ya deal na hilo.
Pia unatakiwa mchangawako ktk nchi yako kama unakumbuka Rais JF Kennedy alisema "usiulize nchiyako itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini nchi"Kweli tunaitaji utawala bora ili tuendelee ila tunakuitaji wewe pia kubadilisha hilo.

Kupanda na kushuka kwa shilling kuna njia moja tuu nayo ni kuhedge fluctuation au kubuy future contract na banks, yaani forward rate. Kwa bahati mbaya bank zote Tanzania zina quote spot rate na wanaogopa kufanya forward rate sababu ya risk iliyokuwa associate na fluctuation na shilling.

Biashara ambayo ina associate na mult-nation ni lazima uwe na high knowledge na exchange rate, i wish kama kungekuwa na hedging theory kwenye swala la exchange rate. Huwezi agiza kipuri kichongwe ujerumani leo na ukaquotiwa price fulani, then payments upon delivery siku ya kuletewa exchange ime hike up kwa double digit.
 
Mimi ni mtu mzima. Ninachojua ni kuwa ni lazima nizikwe ninakokutambua kama kwangu ambako ni hapa Tanzania. Mwenzangu naona bado kijana kwa hiyo masuala mengine yana umuhimu kwako. Kwa wengi wetu saa ya magharibi inapokaribia tunakuwa hatuna kwingine bali huko tulikozaliwa. Ndiyo maana wakina Bokassa waliona heri arudi kwao hata kama ni kufia jela! Ila kama hapo ulipo umeishaweka mizizi na kukuona ndipo utakapozikiwa basi hakuna tutakalokwambia litakalokurudisha Tanzania. Hayo ya investments etc ni by the way!
 
GT nimesikia hata na baadhi ya jamaa zangu kwamba hata stock exchange yao in high liquidity compare na yetu ya Tanzania. Hiyo inamake alot of sense.

Nji nyingine ambayo wanacheza na investments vehicles nimesikia ni Malawi and Botswana. Sababu kuna mtu aliniambia kuhusu real estate zao zina appriciate kwa double digit. However, sijui kuhusu legel system ya nchi hizo. Can every one own business? What are the legel system? tax syestem yao? w

Kituga kinapanda lakini? Wakina Somaiya, Bakhresa wote wameinvest huko...their laws are very accomodating...i got a friend in the petrol station business kule and business is good..hamna urasimu wakijinga jinga..very hard working peoples..
 
mnaliona Hili Mzaha Lakini Naona Bora Nianze Kulifanyia Kazi

Nitakupeni Updates

Na Wengine Tupeane Data As Time Goes By
 
Mimi nakushauri urudi nyumbani kwa sababu TZ ndio nyumbani kwenu.Kwa nini taaluama yako ikawanufaishe watu wengine wakati watz bado tunakuhitaji?

Njoo tupambane na uozo uliopo TZ.
 
Yaani kila siku linapopasuka jipya huko nyumbani roho inasidi kunichoma. Leo saa moja asubuhi nimekalia computer kujua nini kimejiri hapo nyumbani, braking news ni kuhusu Chenge na Million 1USD zake kwenye offshore.

Tatizo sio kushindana na Mafisadi, tatizo ni kwamba network iliyokuwepo ni kubwa na strong sana. sema am still think kama naweza fungasha volago nikarudi. Lakini other than that i better take a job offer in Dubai. I feel like a slave, enjoying other nations developments while my country has all the resources.

Poor Tanzania
 
Je umekata shule? wewe ni mtaalamu wa nini ? nijibu kwanza kabla sijakushauri

Nimesoma kidogo na mungu kasaidia nina kagree ka juu ka usimamizi wa fedha. Nafanya mambo ya capital Management kwenye kajioffice kamoja.

I have a strong background on Investment analysis on different sectors, from Real Estate to Capital Market. Lakini kwa sababu Tanzania bado haijadevelop sana kwenye haya maswala ya investment, then i believe its better kama nitadeal na small security firm hapo town kumanage different portfolio, au ku-underwrite shares za vijikampuni vinavyotaka kwenda public.
 
Kama huko uliko mambo yako sawa, huna sababu ya kurudi Tanzania, nchi ina wenyewe hii, kina balali, chenge, lowassa na wengine wengi unaowajua. Ukipata mkate wako wakumbuke wenye shida nyumbani kwa kuwachimbia visima vua maji, kuchangia madawati na vitabu mashuleni na waweza rudi kuja kusalimia ndugu na jamaa.
 
Unachotakiwa kufanya siyo kuangalia akina Chenge wanafanya nini kabla ya akina chenge si walikuwepo akina Sumaye walojikopesha 50m kutoka NSSF? wewe tafuta mtaji then njoo nyumbani uwekeze lakini siyo kuzamia mjenga nchi ni mwnanchi.
 
Sasa wewe kwa akili yako unadhani ni jukumu la nani kurekebisha hali iliyopo tanzania??? Yaani wewe unataka kuishi kwenye nyumba safi wakati huo huo hutaki kufanya usafi???
MWANAMALUNDI HAO NDIYO WASOMIWETU HAO NDIYO WANAMAPINDUZI WAKOLONI
 
mambo kwa kalumanzira, kama huna mpango wa kumuona kalumanzira ili ufanikiwe, usirudi Tanzania hata uwe na vijisent au vijidegree vyako, beba box tu mwanawane maisha popote.
 
Umenishangaza sana!
Sijakuelewa kama u mwoga ha wahrdships au mwoga wa usichokijua au basi tu mwoga wa kuambiwa uko tanzania.
Manake stori za kutisha kuhusu kuishi na kuanza maisha nje ya nchi ni nyingi sana lakini ukiwa na umri mdogo zaidi kuliko hivi sasa, ulijiingiza humo.
Inakuwaje unaogopa kujaribu kurudi? au mentality uliokuwa nayo imepotea?
mi nakushauri usiogope, maisha ni kokote, una sababu kibao za kurudi na sababu kibao za kubaki huko.
jipe moyo, jifunze, na tekeleza.
good luck.
sio kama nakudharau au vipi, manake hata mimi niko kwny dilema kuna kitu natak kufanya lakini naogopa halafu najicheka, still sifanyi, visingizio kubao najipa mwenyewe.
 
kama maisha ni popote, basi afadhali kuishi nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Kila sehemu ina matatizo yake, lakini matatizo huko nyumbani mweee yamezidi. Mentality yangu ya kurudi nyumbani inazidi kupotezwa na hayo mambo ya ufisadi, uchawi, hali duni ya maisha ya wastani ya mtanzania, why?

sitaki kujaribu kurudi nyumbani, nataka niwe na yes au no, yaani nirudi au nisirudi, maisha nimeshayajaribu sana na umri umeshakwenda. What I need now is just to make a decision wapi nijikite kimaisha.
 
Back
Top Bottom