Nisaidieni kufanya uchaguzi mzuri wa chuo

Lakini mdogo wetu kabla ya kusoma hukufanya uchunguzi?

Vyote vi vyuo vya kati na chuo sio hoja sana mimi na kushauri
kwa kigezo cha Program ya kusoma. Nenda kasome IT, itakusaidia
kwenye kujiajiri zaidi tofauti na hiyo Marketing.
 
We unataka chuo kiwe kizur ili iweje we si unasoma tu baada ya miaka mitatu hurud tena hapo we soma kozi unayoiona nzuri kwa mustakabali wa maisha yako sio mazingjra ya chuo. Iko chuo hata kama kiko mjini kariakoo pale na maghorofa ya maana ila jua utamaliza na kuondoka kinachobaki n kozi uliyosomea utafanyaje nayo huku mtaani au ndo utakuwa unazunguka tu na kufikiria maghorofa ya chuo ulichomaliza
 
Kwa wanachuo wanaopenda kuishi kigamboni karibu na Ferry/Kivukoni Nicheki Whatsapp ili upate Room ya ndoto yako.

Asante.
WhatsApp:+255620523897.
#Chumba #Vyumba #Kigamboni #Ferry #Kivukoni #Pantoni #Chuo #Vyuo #College #Universitylife #Collegelife
 
Back
Top Bottom