Nisaidieni hili swali wanachuo limenishinda!

Stages of social and cognitive development...

Anapokwambia social na cognitive expectations anahitaji mambo/mabadiliko ambayo yanategemewa ndani ya umri flani mpaka umri flani.
thank u mkuu
 
Kuna Theories nyingi zinazodescribe growth and development. Your question is too broad to respond.
Kwa kifupi unahitaji theory za Freud kuhusu Id, ego na superego. Erickson psychosocial theory, Piaget cognitive theory, Harvighust development tasks theory, etc
ahsante mkuu
 
soma vitabu vifuatavyo.....
1.Adolescence by john watson santrock
2.Human development by Urie bronfenbrenner.
3.Adolescence by Erik Erickdon.
4.Caring for your adolescence by Graydanus.


Hapo swali limeiaha kabisa
kila raheli katika Corse work mkuu
asante sana
 
Anza Ku define keys words. Highlights hints zote, flow hivyo hivyo utafikia jibu,hayo ndo yangu
 
Tumia stages of development za child una zihusianisha na social cognitive kujibia ilo swali
 
Sie walimu wa nursery ndio tunasomea hayo mambo njoo hapa na pesa ya vocha nikushukie madude
 
yani nikionaga swali tu lina ma development development sijui nakumbuka DS tu..na mapigo ya moyo yanaenda kasi saana. DS Ilinisumbua saana saana.. sijataka hata kusoma mpk mwisho sijui ni li Ds au
hahahh mkuu umenichekesha kweli inaonekana ulikua hulipendi kutoka moyoni haswaaa
 
Hapo kuna mambo mawili, yaani kuna child social development na child cognitive development, unapogoogle andika kwanza theories of social development alafu baadaye google theories of cognitive development, hapo utaletewa theories za Scholars ambao wameelezea hayo kama Lev Vygotsky na Jean Piaget.

Sasa kama ni assignment kwa ajili ya presentation unatakiwa ueleze namna hao Scholars walivyoelezea, ukianza social development na kumalizia na cognitive development.

Kama si swali la presentation basi unaweza kusoma theories za hao Scholars na kuzitumia zile utakazoona zinafaa, yaani kama lipo kwenye mtihani, mengine utajiongeza mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom