Nipo rumande kwa kufungua ofisi

Japo nimefanya usafi mpaka maeneo yasio nihusu nakuendelea kufanya biashara ya kuuza breckfast lakin haijasaidia.

Natakiwa kulipa faini.. najiuliza hoja ya msingi ni usafi au kufungua ofisi??

nisaidieni wakuu kabla sijaenda rumande...
Fuata maelekezo ya viongozi
 
Japo nimefanya usafi mpaka maeneo yasio nihusu nakuendelea kufanya biashara ya kuuza breckfast lakin haijasaidia.

Natakiwa kulipa faini.. najiuliza hoja ya msingi ni usafi au kufungua ofisi??

nisaidieni wakuu kabla sijaenda rumande...
Pole sana mkuu. Hii nchi sasa inaelekea kufanana na North Korea. Bado muda mfupi tu tutaanza kuvaa uniform kwa lazima na kumsujudia kiongozi mpendwa kama Kim Jong Un!
 
Fuata sheria na kanuni, kiburi chenu cha kuishi kwa mazoea vitawaponza.

Hayo ndio mabadiliko tuliyokuwa tunayoyahitaji,

nakushauli andaa fine kabisa kabla hujaenda kunyea kwenye ndoo
Sheria gani hiyo?
Hebu iainishe hapa.
Hiyo leseni ya biashara amelipia na pesa ya taka ila zwazwas kama nyie mnaburuzwa kama maiti na kodi mnalipa.
 
Pole sana punguza kiburi nakujua vizuri wewe huwa unajisahau sana,tii sheria bila shuruti waombe ulipe faini ukiendeleza ujeuri wako kuna miezi sita ya kunyea ndoo inakumendea hapo.
 
Fuata sheria na kanuni, kiburi chenu cha kuishi kwa mazoea vitawaponza.

Hayo ndio mabadiliko tuliyokuwa tunayoyahitaji,

nakushauli andaa fine kabisa kabla hujaenda kunyea kwenye ndoo

Sheria hiyo ni ipi ilipitishwa wapi na lini?
 
Japo nimefanya usafi mpaka maeneo yasio nihusu nakuendelea kufanya biashara ya kuuza breckfast lakin haijasaidia.

Natakiwa kulipa faini.. najiuliza hoja ya msingi ni usafi au kufungua ofisi??

nisaidieni wakuu kabla sijaenda rumande...
Kwani hizo kampuni za usafi zinafanya kazi gani? Wangeacha kutoza hizo pesa za usafi. Watanzania tunapenda sana kulea watu wazembe.
Kampuni za Kufanya Usafi zimeomba kufanya shughuli za usafi na zinalipwa, uzembe wa hizo kampuni unasababisha mtu mwingine aingie matatizoni. Hili agizo lazima litizamwe kwa jicho la pili ili tusifuge wazembe na watu wasiopenda kuwajibika.
 
Leo ni Sabato ya Bwana Mungu wetu
Hupaswi fanya kazi yoyote ile
 
Japo nimefanya usafi mpaka maeneo yasio nihusu nakuendelea kufanya biashara ya kuuza breckfast lakin haijasaidia.

Natakiwa kulipa faini.. najiuliza hoja ya msingi ni usafi au kufungua ofisi??

nisaidieni wakuu kabla sijaenda rumande...
Nchi inapaswa kuendeshwa kwa sheria. Ni sheria gani inayolazimisha usifanye shughuli zako na badala yake ukafanye usafi? Ungekuwa na mwanasheria wala usingetoa rushwa.
 
Back
Top Bottom