Bahati mbaya haina mwenyewe humpata yeyote.
mfanye second wife wa siri ila unaweza watunza wote?Ni kweli ila huyu mwingine amesema yupo tayari kuwa second wife kitu ambacho huyu wa kwanza hataki kusikia habari ya kushare mume.
Wa pili naye mlipanga kuoana?Tulipanga kuoana hadi kwa wazazi tulitambulishana.
Majuto ni mjukuu.si wajua jambo likishatokea ndo unaanza kujuta.
ila ya kutia wawili unayo? jitahidi ulee wanao woteMaisha ya kutunza two wives yako wapi miss chagga?
Pole sana lakini,ila huyo anaetishia kujinyonga hayuko sawa kichwani, deal nae taratibu sana.Umenifanya nicheke pasipo kupenda.maisha matamu japo magumu alafu raha sana ukiwa na dushe linalofanya kazi iliyokusudiwa.
Hakuna siri ya wawili baadae ikijulikana ndo jipu litakuwa chungu zaidi kheri mapema.Ungempenda uliyezaa nae husingefanya upuuzi huu unaujua madhara Yake Kwa Kwa Familia Yako!..Ok!..Pole Sana Mkuu!...We Muoe uliyezaa nae Na husimwambie lolote... Huyo uumpangie mji wa mbali huko!
Jigo