Nipeni sababu 3 za msingi za kutufanya tuamini Magufuli anastahili kuombewa

Hivi nini ambacho raisi huyu amekifanya cha kukufanya uamini kuwa amechukua maamuzi mazito na magumu yanayoweza kuhatarisha usalama wake kiasi kwamba sisi wananchi tumuombee.

Je, ni haya?
1.Kubomoa nyumba za masikini?
2.Kufukuza/kusimamisha watumishi wa umma?
3.Kuwapa grace period wafanyabiashara wakubwa wasiolipa kodi?
4.Kutuoa kauli kali kwa Mawaziri,Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa?

Jamani nisaidieni labda kuna ambayo kaagiza/kayafanya ambayo pengine mimi mwenzuni siyajui kama vile;
1.Kukamata na kufungulia mashitaka wanasiasa wakubwa(vigogo) kwa matumiza mabaya ya madaraka.
2.Kuzuia maslahi ya vigogo
3.Kutishia maslahi ya mataifa makubwa yaliyowekeza hapa nchi kama vile kuagiza kupitia upya mikataba yao na serikali au kuisitisha mikataba hiyo
4.Kuagiza mikataba hiyo ipelekwe bungeni mara moja
5.Kuondoa kinga ya raisi kutoshitakiwa
6.kuagiza uchunguzi mpya juu ya kashifa za Escrow, Kagoda, EPA, Meremeta, n.k.

Mwenezuni sielewi labda kaagiza na haya yafanyiwe kazi ndio maana anaomba tumuombee kwa mungu.

Sala yako inahitajika mkuu... Maana Mwenyez Mungu ameagiza Mpende jiran yko Na muombee Adui yako
 
Ajiombee mwenyewe na Ligunia lake la dhambi ambozo kwa macho tumeziona na nyingne kwa maskio tumeziskia
 
Aombewe na nani?Na watoto wa kambo?Maana amewataja wanachama wa CCM na wasiyo wanachama wa vyama vya siasa,alishindwa kutaja watanzania wa vyama vya upinzani hususan CUF na CDM inaonyesha jinsi gani Mzee wetu anachuki na upinzani.

Nadhani pia hakumuelewa Meya wa Kindondoni aliyemwambia Mkuu wa Mkoa kwamba badala ya kwenda kuomba Ruzuku Serikalini wangepanga mikakati ya kubana na kuongeza mapato ambayo anauhakika yatakidhi ELimu Bure na mengineyo.

Nilifikiri kwenye hili Rais Magufuli angelikubali ili hiyo Ruzuku iende kwenye maeneo ambayo yana mapato kidogo.
 
Mimi naona tumuombee Lowasa ili awe mzima na aweze kugombea urais 2020 kupitia Chadema.
 
Hivi nini ambacho raisi huyu amekifanya cha kukufanya uamini kuwa amechukua maamuzi mazito na magumu yanayoweza kuhatarisha usalama wake kiasi kwamba sisi wananchi tumuombee.

Je, ni haya?
1.Kubomoa nyumba za masikini?
2.Kufukuza/kusimamisha watumishi wa umma?
3.Kuwapa grace period wafanyabiashara wakubwa wasiolipa kodi?
4.Kutuoa kauli kali kwa Mawaziri,Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa?

Jamani nisaidieni labda kuna ambayo kaagiza/kayafanya ambayo pengine mimi mwenzuni siyajui kama vile;
1.Kukamata na kufungulia mashitaka wanasiasa wakubwa(vigogo) kwa matumiza mabaya ya madaraka.
2.Kuzuia maslahi ya vigogo
3.Kutishia maslahi ya mataifa makubwa yaliyowekeza hapa nchi kama vile kuagiza kupitia upya mikataba yao na serikali au kuisitisha mikataba hiyo
4.Kuagiza mikataba hiyo ipelekwe bungeni mara moja
5.Kuondoa kinga ya raisi kutoshitakiwa
6.kuagiza uchunguzi mpya juu ya kashifa za Escrow, Kagoda, EPA, Meremeta, n.k.

Mwenezuni sielewi labda kaagiza na haya yafanyiwe kazi ndio maana anaomba tumuombee kwa mungu.
Leta ujinga ugeuzwe maiti kama king Kong
 
Mkuu kumuombeaa Mtu ni hiyari ya Mtu mwenyewe....BuT PALE KWENYE Kashfa ulizotaja ongeza na RICHMOND...
Najua "ulipitiwa" tuu Mkuu
 
Back
Top Bottom