Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,516
- 49,496
Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.
Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.
Nisaidieni wakuu.
Leta namba yake nimtongoze alafu ww ukakamate sms iwe sababu mbali na hapo jifunze kusoma alama za nyakati alikupa sarakasi akiamini unajiweza on bed ila ndo hivyo akaona anajichosha na hakuna kituHivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.
Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.
Ukimuomba Hela akikupa ..vipi utamuacha au utaendelea naye....Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.
Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano...
Ukaribu wake, unaweza kuja kunivunjia ndoa; amekuwa na hisia kali sana kuliko ata mama watoto wanguSasa w kwann unataka kumkimbia dada wa watu?
Namba nakutumiaLeta namba yake nimtongoze alafu ww ukakamate sms iwe sababu mbali na hapo jifunze kusoma alama za nyakati alikupa sarakasi akiamini unajiweza on bed ila ndo hivyo akaona anajichosha na hakuna kitu
Atajisikia vibaya, anaweza akajiua au akanipa madharamwambie tuh huna ladha
jaribu kumwambia wacha kudhaniaAtajisikia vibaya, anaweza akajiua au akanipa madhara
Wewe kila siku unakutana na pisi kali tu hakuna manung’aembe! Aidha ndugu yangu, kila siku mchuchu mpya au unapunyetolise tuHivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.
Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.
Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale nilinyoosha mikono juu.
Nikajua kila siku mambo yatakuwa hivyo (sarakasi za kutosha); siku zilivyozidi kusonga mbele zile sarakasi zikawa hazipo tena; akawa anajiweka tu ubavu au kifo cha mende, kazi inakuwa imeisha.
Nilivyomsoma kisaikolojia, ni kweli ananipenda na anajitahidi sana kunipigia pigia simu kila mara kuniuliza nipo wapi, nafanya nini n.k
Changamoto nyingine, anaweza akaja nyumbani muda wowote kwa kunishtukiza, ili aweze kupata fumanizi; nashukuru muumba sijawahi kukamatika.
Sasa, mimi nataka niachane naye; nataka nitumie mbinu ya kuwa namuomba hela ili aweze kunikimbia.
Sasa wakuu, hiyo itafanikiwa? Na kama haitafanikiwa nipeni mbinu nyingine mbadala.
Kwa sababu nimejaribu kuweka vikwazo vya kiuchumi, naona bado anavumilia tu, simpigii simu lakini bado yeye ananipigia.
Nisaidieni wakuu.
Lamuhanga limekuganda na utapuyanga sana,hakuna madem ving`ang'anizi kama wenye asili ya kisomali.....
Ushauri:mwambie kwamba wewe ni punga(shoga)..atakuacha yeye mwenyewe
Nikiwa nalia lia shida kila siku, atajiongeza na kuniachaUkimuomba Hela akikupa ..vipi utamuacha au utaendelea naye....
Nadhani hii itakuwa mbinu ya kistaarabu na haitamuumiza kihisia.Muombe hela mwaya 😅😅mpige kizinga kitakatifu kila siku ukitoa hiki weka kile
Kumbe bado unampendaHiyo mbinu yako hapana
Zaidi ya hiyo, aniachii nafasi ya kupumua, ameshanitambulisha kwa watu wake wa karibu hadi inakuwa keroKwahy unataka kumuacha kisa hupati style za ngono.?