Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 32,537
- 47,547
Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.
Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.
Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale nilinyoosha mikono juu.
Nikajua kila siku mambo yatakuwa hivyo (sarakasi za kutosha); siku zilivyozidi kusonga mbele zile sarakasi zikawa hazipo tena; akawa anajiweka tu ubavu au kifo cha mende, kazi inakuwa imeisha.
Nilivyomsoma kisaikolojia, ni kweli ananipenda na anajitahidi sana kunipigia pigia simu kila mara kuniuliza nipo wapi, nafanya nini n.k
Changamoto nyingine, anaweza akaja nyumbani muda wowote kwa kunishtukiza, ili aweze kupata fumanizi; nashukuru muumba sijawahi kukamatika.
Sasa, mimi nataka niachane naye; nataka nitumie mbinu ya kuwa namuomba hela ili aweze kunikimbia.
Sasa wakuu, hiyo itafanikiwa? Na kama haitafanikiwa nipeni mbinu nyingine mbadala.
Kwa sababu nimejaribu kuweka vikwazo vya kiuchumi, naona bado anavumilia tu, simpigii simu lakini bado yeye ananipigia.
Nisaidieni wakuu.