Amsha amsha ina raha yake na kumbuka enzi za ujana waqt wa umisseta ilikuwa ukisikia huko nje khaswa warembo wakiimba pressure pressure(preshaaaaa)basi waweza kukimbia mpaka miguu ikagusa kisogo au uka dive na ku score goal kiasi ukiambiwa urudie hata wakupe milion huwezi.Haaswaaaa na raha ya bia uchungu hehehehehehe
Kipaji hiki hata sikutambua kama nnacho asante kwa kunitunuku.
Unapenda kuamshwa eeeh....
Amsha amsha ina raha yake na kumbuka enzi za ujana waqt wa umisseta ilikuwa ukisikia huko nje khaswa warembo wakiimba pressure pressure(preshaaaaa)basi waweza kukimbia mpaka miguu ikagusa kisogo au uka dive na ku score goal kiasi ukiambiwa urudie hata wakupe milion huwezi.
So amsha amsha inaamsha kweli.
View attachment 362919
View attachment 362923
Mahabuba weeeh..... Kasie Lloves you mwaaah!!
Nipeleke babangu eeh, nibemende... wasiokuwa wangu wasinione.....
Wacha wapige kelele.... wasojua yetu na wakome.....
Najuuutaa..... kukupata dadii.
Haya kumekucha tena asiye na mwana aeleke jiwe, ile safari ya kwenda utalii kwenye boti la kifahari imerudi tena.
Dadii leo nimeamka salama nakusubiria hiyo kesho kwa hamu kubwaaa ........ ready for the tost!!
Muah
Achana naye cc tulisongeshe kwa raha zetuUna uzoefu nao eeeh.... hehehehhee ila pamoja na kupata uzoefu kwao, bado hujagundua kuwa hawatafuti phd ya kitandani..... raha kwao ndo kila kitu ndomaana wanazidi kubongeka.
Pia kizuri hakikosi kasoro...... utamu unautaka ila tipwa hutaki...
Acha hizo bhanaMmhh naona inarowekwa na maji ya chumvi ipate ladha
KabsaaKwa raha na starehe zetu eeh........
Kasinde kaleta huyo jamaa sasahivi kapata kiki ya nguvu instagram. Nimemuona akihojiwaAcha hizo bhana
Kasie acha kabisaKasinde kaleta huyo jamaa sasahivi kapata kiki ya nguvu instagram. Nimemuona akihojiwa
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
Kasinde kaleta huyo jamaa sasahivi kapata kiki ya nguvu instagram. Nimemuona akihojiwa
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app