chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,767
- 3,508
Gonga nyagi mkuu upate nidhamu ya kusheherekea sikukuu vizuri.
Huyu jamaa mwanzisha mada hata harufu ya bia haijui .....
Huyu jamaa mwanzisha mada hata harufu ya bia haijui .....
AiseeeKayoga Ni Nzuri Japo Ukianza Kulewa Lazima Ukumbuke Nduguzo Waliotangulia Mbele Ya Haki Na Lazima Ulie,na UTALIA TU LAZIMA!
mkuu we hatari ulimaliza mizinga 3 mikubwa ya nyagi??