Ninywe Pombe Gani Wakuu Mkesha Wa Leo !!

REALITY

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
4,313
1,850
Wadau Leo Ni Mkesha Wa Xmas Na Stress Ndo Zishaja Kabati,nataka Ninywe Mpaka Boxing Day Ila Bufe Ni Kila Muda Mpaka Kieleweke Nimesubiri Sana Hii Siku Ya Waroma,nipeni Idea Whisky,spirits,wine,lager,beer Kuhusu Za Bei Rahisi Wadau Sio Mkesha Huu Mpaka 400k Ikatike Siku Mbili
 
Kwani unauwezo wa kununua pombe gani na unapendelea kunywa pombe gani?
 
Kunywa maji tu alfu kesho ukampe MUNGU utukufu kwa kukulinda pia umuombe akulinde 2016
 
Nyagi mizinga 3 mikubwa tosha kabisa unazima mpaka J3 unaamkia kazini.raha ya pombe kulewa na kuyumba yumba-yani hapo IQ inakuwa ZERO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…