sleee
JF-Expert Member
- Jul 25, 2022
- 211
- 306
Km bajet inazingua chukua jata Ractis yenye 1Nz nayo ipo vizur tuh.Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.
Asanteni sana.
Ukikaa km upo kwenye Suv na ina but kubwa