Nini unaweza kufanya kama mpenzi wako amekuacha kwa maneno ya kusikia kwa watu

kupim Akili ya mtu au jamii hakuhitaji nguvu nyingi zaidi kuona na kusikiliza mawazo yao... asanten Yote yanaweza kuwa majibu maana mapenzi ya siku yanamashabiki kama timu za mpira wa miguu
 
Sasa ashakuambia tuachane halafu anarudi anakuomba mrudiane akiwa anakuacha na matusi juu.. Ya kila aina .Wewe umeamua kumove on jamaa anarudi na kukwambia nimekumuc sana mke wangu.... Utafanyaje.....
 
Hii yote ni [HASHTAG]#jelous[/HASHTAG] love.... Anaependa kweli toka ndani kwa moyo hayasikilizi ya watu ikiwa mnaaminiana watu ni kazi kusema yawezekana nai wanatamni

wewe unaonekana ni tatizo, sababu unaficha mambo yako na kutokaa naye karibu ili kuwekana wazi.
Na ndiyo maana kafanya uchunguzi wa kutosha na kubaini mambo mazito toka kwako ambayo wewe binafsi hutaki kukili wazi na pengine ikibidi kuomba msamaha.
Na ndiyo maana anachukua uamuzi wa kukuacha.
 
kitu nachobain kutoka kwako ni "ombwe la busara au kwa lugha nyingine maadili"
Maadili ni kiungo muhimu kuelekea "matendo yasiyo na mashaka, mienendo isiyo na shaka"
Kama tabia zenye mienendo ya mashaka zipo kwako, na wewe hutaki kuyaweka wazi kwa upana na kwa uyakinifu. Lazima tu huyo jamaa akukumbie, kwa kuwa wewe binafsi unaamin "kwa kuwa tu jamaa kaonyesha upendo kwako basi atakuvumilia yote" wakati kuna ambayo hayavumiliki {kama unayatenda kweli}.
Kinachopaswa ni kutoa nafasi ya Majadiliano kwa uwazi na kwa upana zaidi ili kuondoa tofauti zenu {Kama kweli na wewe unampenda}
 
wewe unaonekana ni tatizo, sababu unaficha mambo yako na kutokaa naye karibu ili kuwekana wazi.
Na ndiyo maana kafanya uchunguzi wa kutosha na kubaini mambo mazito toka kwako ambayo wewe binafsi hutaki kukili wazi na pengine ikibidi kuomba msamaha.
Na ndiyo maana anachukua uamuzi wa kukuacha.
Unafikiri nini kama mwanaume amezoea kutendwA imani ya kupendwa inapotea haezi amini kama anapendwa na anaempenda amejitoa kwake na hasikilizi ya watu maana anayosikia kwangu namimi nayasikia yake mengi na mengine nayashuhudia kwa macho.....lakin upendo Wangu hauesabu mangapi naamini... Aliezoea kutendwa haamini kama upendo wa dhati upo kwake.... Au nakosea kusema wadau
 
Back
Top Bottom