Nini maana ya mwanamke anapigwa kwa upande wa khanga?

Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake.

Naomba ufafanuzi asanteni
Mkune vizuri mpaka huko chini asikie kunatokota alafu mwangalie siku mbili tatu mkune tena mpaka kutokote na kutoa moshi Hakikisha kwa mwezi unafanya hivyo mara kumi kila mwezi utapata jibu mkuu.
 
Vijana wanawaza ngono tu,

Hapo zamani kanga zilikua ni kama fashion kali sana, mkiendq harusini mnaangalia nani kavaa kanga nzuri nzito na yenye maneno mazuri,
Ni mfano wa wadada wakiislam wanavyopenda ma abaya.

Kumpiga mke wa upande wa kanga, ni kua ukiona humuelewi, unaenda kumletea doti ya kanga nzuri let say amekaa unamueekea like kunrushia kua umemleta kanga, hapo atakenua meno yote. It all about services and rewards to melt her heart.
 
Back
Top Bottom