Youda Fema
Member
- Feb 2, 2024
- 70
- 63
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.
Maana yake YANGA BINGWA!Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.
Kweli mkuu umenikumbusha Nilikua Najiuliza nilisikia wapi haya maneno awaliMaana yake Ubaya Juu ya Ubaya.
Ni maneno ya kizaramo alikua anatumia dula mbabe akisema Ubaya ubwela udugu wamala,Yaan maana yake Ubaya juu ya ubaya undugu umeisha.
Udugu UmalaMaana yake Ubaya Juu ya Ubaya.
Ni maneno ya kizaramo alikua anatumia dula mbabe akisema Ubaya ubwela udugu wamala,Yaan maana yake Ubaya juu ya ubaya undugu umeisha.
Sawa mkuu itakua ni hivyoUdugu Umala