Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?

Youda Fema

Member
Feb 2, 2024
70
63
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.
 
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.

Kitakacho happen Kwa Mkapa ndo hicho Wamekifupisha kwa Maneno 'Ubaya Ubwela'.... stay tuned.!

Kwaiyo Usiombe huo msemo ukukute..!
 
Maana yake Ubaya Juu ya Ubaya.
Ni maneno ya kizaramo alikua anatumia dula mbabe akisema Ubaya ubwela udugu wamala,Yaan maana yake Ubaya juu ya ubaya undugu umeisha.
Kweli mkuu umenikumbusha Nilikua Najiuliza nilisikia wapi haya maneno awali
 
Back
Top Bottom