Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,286
- 20,261
No offence, watu huwa tunakosea na mimi pia I went too far on my comment, as you can see my comment is already edited. Pamoja mdau. Don't take it personal.sawa
No offence, watu huwa tunakosea na mimi pia I went too far on my comment, as you can see my comment is already edited. Pamoja mdau. Don't take it personal.sawa
Utakuwa mtu wa ajabu sanaa umeendesha gari zote hizoo na unasema nidereva mzoefu kinachokushangaza nini kwenye alteza? Au shida yako tujue ushaendesha Magar aina ngapIna tatizo gani kwani? Nimeendesha gari za aina nyingi tu kuanzia GX 100 mpaka 110. IST. RAV4. Colora. Starlet nk nk . I have got almost 20 yrs of driving experience ya mjini na Highways kwa vile nazunguka Sana . Nilichokiona zaidi ni wepesi wa gari tu sijui kama kuna kingine. Speed inayo yes but sioni tofauti na GX labda kama kuna la zaidi nielimishe kwa uwazi mdau.
Kazoea vtz old model Leo kaazimwa alteza anajikutaa kuulizaa hayoo mengine Cjui ye dereva mzoefu aliyeendesha gari nyingi mbwembwee tuuuWewe inawezekana hata gari huna na unajishaua tu hapa hivi kweli uwe umeendesha magar kwa kipind hicho ulicho taja halafu uwe hujui mtumizi ya hivyo uliza?????? Asee uongo unahitaji kumbukumbu
Unaletaa mashudu dot com ndo maanaa watu wanakupotezeaaPole mkuu ndio nasogea taratibu kwenye boda boda. Huwezi jua kesho naweza tajwa kwenye vyeti fake ha ha haaaa! Lakini sincerely nimeuliza kutaka kujua ingawa naona kuna watu wanataka kubadili mada.
Usihofu mkuu, kuna wengine sisi ukija unataka msaada usije na majigambo oohh nimefanya hiki mara nna hiki tutaona hutaki msaada unataka kutuenjoy yani hata ukipewa majibu ya hovyo we kubali tu sababu ulikuja tafuta msaada!..No offence, watu huwa tunakosea na mimi pia I went too far on my comment, as you can see my comment is already edited. Pamoja mdau. Don't take it personal.
Somo lako nimelipenda mkuu, seems tunafanya mistakes kibao wakati wa kuendesha.Kijana nimeendesha gari nyingi sana. Kuanzia manual to most sophisticated auto and semi autos. Simple sequence ipo hivi p n r d 1 2 3 pambeni inaweza kuwa na +/- for semi autos. Hio 1 inaweza kuwa L.
Sasa ukiweka 2 gear zinabadilika mwisho mbili tu,same ukiweka 3.
Kazi yake nini?
1.Ukiwa unamfundisha mtu kuweka D ni hstari kwasababu anaweza kushindwa kubalance mguu akakanyaga gear zikapanda na speed ikapanda sana. Ukimuwekea 2/3 hata akanyage vipi ana limit.
2.ukiwa unavuta gari au trailer hushauriwi kuanza na D. Unaanza na 1/L then ikigain speed unashift to 2/3 then D smoothly.
3.ukishuka mlima ni vizuri kutumia 3/2/1 ili kuokoa brakes maanake ukishuka na D utakuwa na kazi ya kukanyaga brake ambapo zinaweza ku overheat.
Hizo +/- ni manual shift kwrnye auto car hence name semi-automatic either unaigonga gear lever up/down au una press button on steering wheel or push flaps under ur steering wheel.
Ni option ya manual kwenye auto na hasa sports car.Mkuu hizi altezza kuna ambazo ni manual at the same time ni automatic.Hizi za manual ziko hivi P-R-N -D-M-L3-L2 sasa ukitaka kuendeshea Manual unaweka kwenye M then unaongezea kwa kupunguzia kwenye usukani kutoka 4-2 hizi ni nzuri sana wakati wa mvua na hiz barabara zetu ukiweka M then 2 unapita barabara zote. "
Sawa kabisa lakini si unajua kila mtu mjuzi.Mimi nilifikiri 2 inaruhusu gear zibadilike mwisho mbili, kadhalika D-3 inaruhus gear zibadilike mwisho tatu.
heheuzuri wa Jf kila mtu ana kipato kizuri aidha biashara au kwa kuajiriwa , pia kila mtu ni msomi , na kila memba ana maisha mazuri mfano nyumba gari na aseti nyinginezo.....ndo maisha ya mitandaoni !!!
mleta uzi nenda driving school
Mbona na wewe uko vizuri kiuchumi Mkuu.Khaa! Yan umenunua Tezza baada ya mambo kubana sana? Wengine tumenunua boda boda mkuu. Hongera sana. Angalau wewe bado unapumua kiuchumi, wengine tuko ICU!
Yaani toka asubuhi najaribu Sana kukuvumilia but bado unaongea pumba tu. Please use your little common sense, Ingekua Mimi Nina Nina ya kujishaua nisingekuja JF ambako sijui mtu hata mmoja, ningeenda FB or WhatsApp groups or Instagram ambako tunajuana hata kwa Sura nikajishauwe huko. Kwa nini lakini huna akili kiasi hiki? Kama wewe unajuana na wenzio humu JF basi ni nyie huko. Na hata ukichunguza Mimi sio mtoa hoja wa mchangiaji Sana wa mada humu. Naweza potea hata mwaka. Narudia tena kukueleza kua wewe hunijui na Mimi sikujui tusichafuane kwa kitu kidogo kama hiki. Acha watu wajibu wanaojua. Kama umepigika mpaka unaona Allteza ni gari ya kujishaua usinichukie Mimi . I have nothing to do with your fckn life !Usihofu mkuu, kuna wengine sisi ukija unataka msaada usije na majigambo oohh nimefanya hiki mara nna hiki tutaona hutaki msaada unataka kutuenjoy yani hata ukipewa majibu ya hovyo we kubali tu sababu ulikuja tafuta msaada!..
Hahaahaha mbavu zangu.da jf mnachekesha sanaNikushauri tu, kabla hata hujafungua au kukalia kiti cha hiyo gari, naomba urudi driving school, kabla hauja luck vicent, na watu wakapotea na rambi rambi ya msiba wako.
sawa tuvumiliane tuYaani toka asubuhi najaribu Sana kukuvumilia but bado unaongea pumba tu. Please use your little common sense, Ingekua Mimi Nina Nina ya kujishaua nisingekuja JF ambako sijui mtu hata mmoja, ningeenda FB or WhatsApp groups or Instagram ambako tunajuana hata kwa Sura nikajishauwe huko. Kwa nini lakini huna akili kiasi hiki? Kama wewe unajuana na wenzio humu JF basi ni nyie huko. Na hata ukichunguza Mimi sio mtoa hoja wa mchangiaji Sana wa mada humu. Naweza potea hata mwaka. Narudia tena kukueleza kua wewe hunijui na Mimi sikujui tusichafuane kwa kitu kidogo kama hiki. Acha watu wajibu wanaojua. Kama umepigika mpaka unaona Allteza ni gari ya kujishaua usinichukie Mimi . I have nothing to do with your fckn life !
Wewe inawezekana hata gari huna na unajishaua tu hapa hivi kweli uwe umeendesha magar kwa kipind hicho ulicho taja halafu uwe hujui mtumizi ya hivyo uliza?????? Asee uongo unahitaji kumbukumbu
na wewe acha mbwembwe utafikiri dereva kweli kuja uendeshe scania gear 16 ,muone kwanzaNyie ndio mnao tusababishia ajali kila siku hebu nenda kasome udereva na sheria za barabarani kwanza
Hili nalo swali unaleta JF?????Wadau nimezoea kuendesha gari zenye alama ya P-R-N-D-L-2 kwenye gear. Sasa majuzi nimenunua kigari cha Allteza baada ya mambo kubana sana. Pale kwenye D wameongeza D-3 naomba kujua hio 3 ni ya nini na matumizi yake ni ipi. Hako kajamaa Kana CC 2000 yaani 6 cylinder.