Pre GE2025 Nini kitatokea baada ya Rais Samia kustaafu Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,899
7,647
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Samia kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
 
wasira atakuwa Raisi

1739805081426.png
 
Umekopi na kufanya editing ya uzi wangu wa zamani hizo" Nini kitatokea baada ya Rais Magufuli kustaafu Urais?
 
Kwa kifupi tu ni kuwa mahakama zitajaa kesi za mabilionia ambao kwa sasa ni mawaziri, makatibu wakuu , wakuregenzi na watendaji wakuu wengine serikalini. Saivi hutosikia wizi lakini subiri Mama huyu aondoke.
 
Wengi tutakiwa tunatembea na suruali zenye viraka makalioni na viatu vyenye soli zilizolika
 
Back
Top Bottom