Nini kitakachowafanya CCM washinde 2025?

Chama ambacho kimewapeleka wapiga kura wake kuzimu kwa kuwahadaa mengi ya uongo:
Chama ambacho kimeruhusu raslimali za Nchi ziuzwe na kugawiwa hovyo kwa wageni bila utaratibu na wakati mwingine utaratibu fichi wizi kabisa. Rejea

1. DP world
Kugawiwa bandari zote na kufukuza wafanyakazi kama ngedere katika shamba la mahindi ya binadamu. Hivi sasa wa kuwapa mbadala wa uongo wa kuweka kusudio la kuacha kazi ili waajiriwe na DP world. Najua wengi watameza hii ndoano na watatupwa nje ya Mfumo ajira kama makapi.

DP world mkataba uliofichwa hata kwa wabunge wetu! Maumivu kwa wananchi yanakuja hasa waarabu watakapojana bandarini na mkileta fyoko silaha zinakuja kuwanyamazisha!

2. Mbuga za wanyama
Kwa mara ya kwanza katika Historia wamasai wanalazimishwa kuacha mtindo wao wa maisha ya mbuga walikolinda ikolojia kwa karne nyingi. Waarabu wanakabidhiwa kwa lazima ili kujenga mahoteli "yanayolinda" ikolojia. Wamasai wamefanywa kama raia daraja la tatu.

Mwarabu ametumika kuwahonga nyumba ya vyumba vitatu ili waache mtindo wao wa maisha. Aliyeruhusu na kupokea hela za waarabu kuhonga wamasai huyu ni MHAINI mkubwa.
Hakuna aliyejali sheria namba 5 na 6 kuhusu ulinzi wa raslimali asilia zetu!

3. Kikokotoo(Wizi wa michango ya viinua mgongo vya wastaafu)
Wastaafu wamepangiwa wafe kabla hawajamaliza kulipwa stahili zao za mafao/viinua mgongo vyao. Baada ya kuiba michango ya wastaafu kukapangwa namna ya kuhakikisha hawapati zote! wakaja na kikokotoo. Wameshaiba kiasi kwamba hawana kiasi tena cha kuwapa wastaafu lumpsum

4. Vifurushi vipya vya Bima ya afya (Wizi wa michango ya matibabu ya waajiriwa)
Utashangaa kwanini kelele zimeibuka kati ya watoa huduma za afya na mfuko wa bima ya afya unaosimamiwa na serikali. Hawana tena kiasi kile kwa ajili ya matibabu. Imebaki kubanana na watoa huduma. Atakayeumia ni mwananchi anayehitaji huduma ya afya.

Ukweli ni huu- WIZI - CAG amegundua mabilioni yalikwapuliiwa kutoka NHIF na kuzuga kupelekwa UDOM bila utaratibu wowote WIZI.

Wafanyakazi wa NHIF nao wakaamua kukwapua Tsh 14,000,000,000 ili kwenda sawa sawa na serikali jambazi wao wakasema "wanajikopesha"

YAPO mengi sana! mengine mama wa kizimkazi ameamua kujimilikisha machimbo huko morogoro bila utaratibu.

kipo chama tawala kinasimamia huu uozo wote na kudai kinatetea wananchi.

Chama hiki kinataka kurudishwa tena madarakani katika sanduku la kura!

JE, WATASHINDA?
Hivi ndiyo CCM hutangazwa kuwa wameshinda. Ubatili mtupu.
IMG-20230406-WA0001.jpg
IMG-20200726-WA0000.jpg
JamiiForums2025664867.jpg
FB_IMG_1701150974846.jpg
 
CCM mara ya mwisho kushinda kihalali ilikuwa kipindi cha Kikwete wakati wa temu ya kwanza. Kuanzia hapo CCM huingia Ikulu kwa figisu.Kudhihirisha hilo, Magufuli aliona isiwe tabu akapora waziwazi uchaguzi wa 2019, wa serikali za mitaa, na ule wa 2020 wa raisi, wabunge na madiwani. Ni kama vile alikuwa anatuambia mtanifanya nini?!! 🤔
 
Toka lini CCM hii kuanzia wakati wa JK iliwahi kushinda?
Iko madarakani kwa wizi wa kura tuu ambao hauna tofauti na mapinduzi ya kijeshi ila hii kwa vile hazitumiki silaha tunaona ni kawaida.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
CCM mara ya mwisho kushinda kihalali ilikuwa kipindi cha Kikwete wakati wa temu ya kwanza. Kuanzia hapo CCM huingia Ikulu kwa figisu.Kudhihirisha hilo, Magufuli aliona isiwe tabu akapora waziwazi uchaguzi wa 2019, wa serikali za mitaa, na ule wa 2020 wa raisi, wabunge na madiwani. Ni kama vile alikuwa anatuambia mtanifanya nini?!! 🤔
Sahihi kabisa. Kizazi Cha kuichagua ccm kihalali kiliisha baada ya uchaguzi wa 2005. Baada ya hapo kikaja kizazi kipya kilicho nje ya ccm.
 
Chama ambacho kimewapeleka wapiga kura wake kuzimu kwa kuwahadaa mengi ya uongo:
Chama ambacho kimeruhusu raslimali za Nchi ziuzwe na kugawiwa hovyo kwa wageni bila utaratibu na wakati mwingine utaratibu fichi wizi kabisa. Rejea

1. DP world
Kugawiwa bandari zote na kufukuza wafanyakazi kama ngedere katika shamba la mahindi ya binadamu. Hivi sasa wa kuwapa mbadala wa uongo wa kuweka kusudio la kuacha kazi ili waajiriwe na DP world. Najua wengi watameza hii ndoano na watatupwa nje ya Mfumo ajira kama makapi.

DP world mkataba uliofichwa hata kwa wabunge wetu! Maumivu kwa wananchi yanakuja hasa waarabu watakapojana bandarini na mkileta fyoko silaha zinakuja kuwanyamazisha!

2. Mbuga za wanyama
Kwa mara ya kwanza katika Historia wamasai wanalazimishwa kuacha mtindo wao wa maisha ya mbuga walikolinda ikolojia kwa karne nyingi. Waarabu wanakabidhiwa kwa lazima ili kujenga mahoteli "yanayolinda" ikolojia. Wamasai wamefanywa kama raia daraja la tatu.

Mwarabu ametumika kuwahonga nyumba ya vyumba vitatu ili waache mtindo wao wa maisha. Aliyeruhusu na kupokea hela za waarabu kuhonga wamasai huyu ni MHAINI mkubwa.
Hakuna aliyejali sheria namba 5 na 6 kuhusu ulinzi wa raslimali asilia zetu!

3. Kikokotoo(Wizi wa michango ya viinua mgongo vya wastaafu)
Wastaafu wamepangiwa wafe kabla hawajamaliza kulipwa stahili zao za mafao/viinua mgongo vyao. Baada ya kuiba michango ya wastaafu kukapangwa namna ya kuhakikisha hawapati zote! wakaja na kikokotoo. Wameshaiba kiasi kwamba hawana kiasi tena cha kuwapa wastaafu lumpsum

4. Vifurushi vipya vya Bima ya afya (Wizi wa michango ya matibabu ya waajiriwa)
Utashangaa kwanini kelele zimeibuka kati ya watoa huduma za afya na mfuko wa bima ya afya unaosimamiwa na serikali. Hawana tena kiasi kile kwa ajili ya matibabu. Imebaki kubanana na watoa huduma. Atakayeumia ni mwananchi anayehitaji huduma ya afya.

Ukweli ni huu- WIZI - CAG amegundua mabilioni yalikwapuliiwa kutoka NHIF na kuzuga kupelekwa UDOM bila utaratibu wowote WIZI.

Wafanyakazi wa NHIF nao wakaamua kukwapua Tsh 14,000,000,000 ili kwenda sawa sawa na serikali jambazi wao wakasema "wanajikopesha"

YAPO mengi sana! mengine mama wa kizimkazi ameamua kujimilikisha machimbo huko morogoro bila utaratibu.

kipo chama tawala kinasimamia huu uozo wote na kudai kinatetea wananchi.

Chama hiki kinataka kurudishwa tena madarakani katika sanduku la kura!

JE, WATASHINDA?
Kweli ccm wametupeleka watanzania kuzimu. Shida na taabu kama zote.
 
mtumeni mrema, lema au sugu basi wakakabiliane na makonda huko majukwaani na hayo maoni yako wayaseme halafu huko kwa wananichi, n halafu waeleze na mbadala sasa wa hizo changamoto za wanainchi 🐒

haiwezikani kiongozi analalamika na mwananchi analalamika halafu eti miongoni mwao achaguliwe kiongozi 🤣
Hivi unajielewa au umeandika tu?
 
Chama ambacho kimewapeleka wapiga kura wake kuzimu kwa kuwahadaa mengi ya uongo:
Chama ambacho kimeruhusu raslimali za Nchi ziuzwe na kugawiwa hovyo kwa wageni bila utaratibu na wakati mwingine utaratibu fichi wizi kabisa. Rejea

1. DP world
Kugawiwa bandari zote na kufukuza wafanyakazi kama ngedere katika shamba la mahindi ya binadamu. Hivi sasa wa kuwapa mbadala wa uongo wa kuweka kusudio la kuacha kazi ili waajiriwe na DP world. Najua wengi watameza hii ndoano na watatupwa nje ya Mfumo ajira kama makapi.

DP world mkataba uliofichwa hata kwa wabunge wetu! Maumivu kwa wananchi yanakuja hasa waarabu watakapojana bandarini na mkileta fyoko silaha zinakuja kuwanyamazisha!

2. Mbuga za wanyama
Kwa mara ya kwanza katika Historia wamasai wanalazimishwa kuacha mtindo wao wa maisha ya mbuga walikolinda ikolojia kwa karne nyingi. Waarabu wanakabidhiwa kwa lazima ili kujenga mahoteli "yanayolinda" ikolojia. Wamasai wamefanywa kama raia daraja la tatu.

Mwarabu ametumika kuwahonga nyumba ya vyumba vitatu ili waache mtindo wao wa maisha. Aliyeruhusu na kupokea hela za waarabu kuhonga wamasai huyu ni MHAINI mkubwa.
Hakuna aliyejali sheria namba 5 na 6 kuhusu ulinzi wa raslimali asilia zetu!

3. Kikokotoo(Wizi wa michango ya viinua mgongo vya wastaafu)
Wastaafu wamepangiwa wafe kabla hawajamaliza kulipwa stahili zao za mafao/viinua mgongo vyao. Baada ya kuiba michango ya wastaafu kukapangwa namna ya kuhakikisha hawapati zote! wakaja na kikokotoo. Wameshaiba kiasi kwamba hawana kiasi tena cha kuwapa wastaafu lumpsum

4. Vifurushi vipya vya Bima ya afya (Wizi wa michango ya matibabu ya waajiriwa)
Utashangaa kwanini kelele zimeibuka kati ya watoa huduma za afya na mfuko wa bima ya afya unaosimamiwa na serikali. Hawana tena kiasi kile kwa ajili ya matibabu. Imebaki kubanana na watoa huduma. Atakayeumia ni mwananchi anayehitaji huduma ya afya.

Ukweli ni huu- WIZI - CAG amegundua mabilioni yalikwapuliiwa kutoka NHIF na kuzuga kupelekwa UDOM bila utaratibu wowote WIZI.

Wafanyakazi wa NHIF nao wakaamua kukwapua Tsh 14,000,000,000 ili kwenda sawa sawa na serikali jambazi wao wakasema "wanajikopesha"

YAPO mengi sana! mengine mama wa kizimkazi ameamua kujimilikisha machimbo huko morogoro bila utaratibu.

kipo chama tawala kinasimamia huu uozo wote na kudai kinatetea wananchi.

Chama hiki kinataka kurudishwa tena madarakani katika sanduku la kura!

JE, WATASHINDA?
Kati ya mambo uliyoandika lenye logic ni kikotoo, mengine ni ujinga wako na wengine wasioelewa.

Yaani uachie Masai wawe wanaharibu Hifadhi kisa ukiwatoa Hifadhi ikarudi vizuri na ikaanza kuingiza pesa via uwekezaji iwe jambo baya? Landa wapumbavu ndio wataona ni jambo la msingi.

Hata DP World hakuna hoja ya maana Kwa sababu Duniani kote vyanzo vya pesa vinabinagsisha Ili kuleta ufanisi badala ya kuviacha Serikalini wachache wanajinufaisha na inefficiency kama zote.
 
Mema mengi na makubwa ya kimaendeleo anayoyafanya Rais Samia, yanaihakikishia CCM ushindi wa asilimia 100, mwaka 2025.
 
Back
Top Bottom